joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa mimi na ww mwisho wa msimu ww umechukua nini?Mimi nina mataji matatu plus fainali ya CAF.Bora huyu aliyejitokeza kusema kitu, achana na yule mliyemficha AVIC TOWM nusu ya msimu huku mkisingizia kaenda Uganda kwa mkopo, kisha mkamrudisha kwao Zambia.
KAMBOLE.
Sasa si bora huyo kuliko yule wakala wenu wa aliye simamia uchaguzi na jamaa mkampa kura.