Kipre Jr na Ndala ndani ya Msimbazi itapendeza sana

Bora huyu aliyejitokeza kusema kitu, achana na yule mliyemficha AVIC TOWM nusu ya msimu huku mkisingizia kaenda Uganda kwa mkopo, kisha mkamrudisha kwao Zambia.

KAMBOLE.
Sasa mimi na ww mwisho wa msimu ww umechukua nini?Mimi nina mataji matatu plus fainali ya CAF.

Sasa si bora huyo kuliko yule wakala wenu wa aliye simamia uchaguzi na jamaa mkampa kura.
 
Sasa mimi na ww mwisho wa msimu ww umechukua nini?Mimi nina mataji matatu plus fainali ya CAF.

Sasa si bora huyo kuliko yule wakala wenu wa aliye simamia uchaguzi na jamaa mkampa kura.
Ni kombe gani ulilonalo ambalo Simba Sc haina?

Taja hata moja tu.
 
Reactions: Tui
Hivi kipre Jr ni mrefu? Au macho yangu yana nidanganya??
 
Ni kombe gani ulilonalo ambalo Simba Sc haina?

Taja hata moja tu.
Mimi Aziz K ,Bigirimana wamecheza ligi na makombe nimechukua. Hao akina Sawadogo,Akpan,Okwa wamekupa nini msimu uliopita? Hoja yangu imejikita hapo.
 
Yanga inamiliki kombe lolote ambalo Simba Sc hana?
Mimi Aziz K ,Bigirimana wamecheza ligi na makombe nimechukua. Hao akina Sawadogo,Akpan,Okwa wamekupa nini msimu uliopita? Hoja yangu imejikita hapo.

NB
Refer comment yako.
"Umeandika jambo la msingi sana, kuna haja ya kubadili sana vinginevyo tutakuwa tunasajili akina Mamadou Dombia, Kambole , Bigirimana na Aziz Ki wasioweza kutusaidia chochote".

Kuhusu kumiliki makombe Mtibwa,Tukuyu, Azam wote wanamiliki makombe. Ila je ww kwa usajili wako wa akina Sawadogo,Okwa,Akpan? Wamekupa nini.
 
Hakuna timu ya kutoa mchezaji pale Azam FC labda wamuache wenyewe
 
Umeandika jambo la msingi sana, kuna haja ya kubadili sana vinginevyo tutakuwa tunasajili akina Mamadou Dombia, Kambole , Bigirimana na Aziz Ki wasioweza kutusaidia chochote.
Aziz Ki mtoe kwenye hilo kundi unless unafanya joke
 
Aziz Ki mtoe kwenye hilo kundi unless unafanya joke
Aziz Ki ni usajili uliofeli pale Yanga, ikilinganishwa na pesa na hype mliyompa wakati wa usaajili.

Labda tusubiri msimu ujao.
 
Aziz Ki ni usajili uliofeli pale Yanga, ikilinganishwa na pesa na hype mliyompa wakati wa usaajili.

Labda tusubiri msimu ujao.
Ame fail kwenye nini? note that mimi sio shabiki wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…