Kweli kabisaaaaa. Ushahidi upoHuyo Kazi ni mnazi wa 5imba,alishawahi fungiwa kwa kupewa hela na 5imba ili awabebe.
Ukitaka kujua uwezo na akili ya mtu angalie background yake kwanza ndo utajua huyo mtu wa namna Gani na anaupeo Gani? Ukipata jibu huwez sumbuka na kelele zakeYani Ile faulo ya mpanzu mchambuzi anaona ni ya kawaida na anaitetea!?
Huyu kazi na mwenzake ni Bora wamestafu maana nje ya hapo wangeleta shida sana ya maamuzi kuliko hata Tatu Malogo
Walioanza ushabiki baada ya Mudi kuinunua timu ndiyo hawajui kuwa huyo ponjoro ni koloHuyo Kazi ni mnazi wa 5imba,alishawahi fungiwa kwa kupewa hela na 5imba ili awabebe.