Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Usijitoe kwenye lengo la swali, nakuuliza tena "katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter, kuna chochote kinaweza kuwepo bila kuundwa na muundaji?'ndio akili yangu inafanya kazi,
sasa, twende polepole kwani kuna ulimwengu mingapi!?. kwa mujibu wa imani yako
Kuna mmoja anajiita Kiranga,nilimbana ajibu maswali mpaka akajibu,sasa hayo majibu ndiyo yalionyesha kwa namna gani alivyo mtupu.Kweli mkuu hawana hoja wanakimbia mnoo kujibu maswali
Bado hujajibu swali jibu swali kwanza Mkuu, maana mmekua mkikimbia sana kujibu maswali "katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter, kuna chochote kinaweza kuwepo bila kuundwa na muundaji?'Okay naamua ku assume kua unayosema ni sahihi!.(japo si sahihi) sasa my next question is huyo muundaji!? kaundwa na nani?? kama hana aliemuumba unapingana nini na mimi kukuambia pia ulimwengu haukuundwa!?
Jifunze kutumia maneno inavyo takiwa,unajua kama kuna tofauti kati ya kuunda na kuumba ?Okay naamua ku assume kua unayosema ni sahihi!.(japo si sahihi) sasa my next question is huyo muundaji!? kaundwa na nani?? kama hana aliemuumba unapingana nini na mimi kukuambia pia ulimwengu haukuundwa!?
Tangu niulize swali kwenye post #584 mpaka muda huu hakuna Atheist aliejibu zaidi ya kukimbia kimbiaKuna mmoja anajiita Kiranga,nilimbana ajibu maswali mpaka akajibu,sasa hayo majibu ndiyo yalionyesha kwa namna gani alivyo mtupu.
Hawa dawa yao wanapo kimbia maswali,una wabana mpaka wajibu. Sasa wakijibu ndipo unapo malizana nao. Yaani watupu mno. Hii ndiyo kanuni yangu naishi nayo,yaani siendi nuktq nyingine mpaka wajibu swali.
Sasa shikilia hapo hapo,wakijibu tu lazima ucheke. Ndiyo maana huwa tunawaambia hivi imani ya ukana Mungu ni ugonjwa wa akili.Tangu niulize swali kwenye post #584 mpaka muda huu hakuna Atheist aliejibu zaidi ya kukimbia kimbia
ndio, ni huo ulimwengu wenyewe!Usijitoe kwenye lengo la swali, nakuuliza tena "katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter, kuna chochote kinaweza kuwepo bila kuundwa na muundaji?'
Mfano wa swali hili,nimeshawauliza sana lakini hawajibu,huwa nawaambia ya kuwa wakana Mungu hawakuanza leo wala jana bali tangu na tangu,tena wenzao walikuwa na maarifa mengi na mapana sana kuliko hawa wakukariri bila kufikiri.Kiranga , Scars na Atheist wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi
Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
Onyesha uwezekano wa hilo na ututhibitishie hilo.ndio, ni huo ulimwengu wenyewe!
umeuliza swali fikirishi na zuri, hivyo vitu vyote vinatokana ulimwengu, namaanisha kua ulimwengu upo haukuumbwa ila una manifest wenyew katika kuumba different species !.. sasa hvi tumefikia hatua hata mwanadamu anaumba such species mfano bacteria virus n.k mfano mzuri ni wachina wamewaumbia COVID-19 virus in future binadamu ataumba wanyama kulingana na kukua kwa teknolojia!. its a matter of time,..Kiranga , Scars na Atheist wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi
Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
rejea post #885Onyesha uwezekano wa hilo na ututhibitishie hilo.
mkuu, hiyo aya yako ina swali ambalo sio legit kwani linanitaka kujibu kwa mlengo wa uumbaji,.. swali lilitakiwa kuuliza tumetokana na nini!?.Mfano wa swali hili,nimeshawauliza sana lakini hawajibu,huwa nawaambia ya kuwa wakana Mungu hawakuanza leo wala jana bali tangu na tangu,tena wenzao walikuwa na maarifa mengi na mapana sana kuliko hawa wakukariri bila kufikiri.
Nikawawekea aya katika Qur'aan ikiwauliza na mimi huwa nawaambia swali hilo ni ushahidi tosha wa uwepo wa Mola.
Aya inasema hivi :
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)
Hapo wanakimbia.
kwasababu ndio alieyanena na kuwafundisha wengine!. au sio yeye aliewafundisha wengine!?.Umejuaje ?
Hujaonyesha.rejea post #885
Nimecheka sana,hivi umeisoma hiyo aya au una ruka ruka. Unachokitaka wewe kimo humo,hujaona tamko "...kitu chochote..". Tamko hilo limebeba hayo yote.mkuu, hiyo aya yako ina swali ambalo sio legit kwani linanitaka kujibu kwa mlengo wa uumbaji,.. swali lilitakiwa kuuliza tumetokana na nini!?.
Sababu hakuna nje ya namna hiyo ya uulizaji ikakubali na kuleta maana. Qur'aan ni fasaha sana,sababu inatoka kwa Mola.sasa kama unaniuliza maswali yanayo- speculate unategemea ntakupa majibu!?.. nashangaa hilo swali linatoka kwenye koran, yenyew inaulizaje maswali dhaifu na yaliyo limited!?
Unauliza tena sehemu ambayo unatakiwa uthibitishe ?kwasababu ndio alieyanena na kuwafundisha wengine!. au sio yeye aliewafundisha wengine!?.
exactly yes!.. fungi wanakua from nothing, its just needed the environment!.. au fungi sio living;?.Nilikuuliza hili swali hukunijibu..
Can non living thing procreate living thing ?
Unajua maana ya "nothing" hivi unafikiri kweli kijana ?exactly yes!.. fungi wanakua from nothing, its just needed the environment!.. au fungi sio living;?.
asante, mwalimu wangu ananifundisha kitu ninachoweza kukihakiki, vipi wewe alichowafundisha mmeweza kukihakiki? au ni vile mmekua commanded!? like "Sema: Mungu ni mmoja, yeye ndo mmiliki wa vyote, yeye ndie peke ake anaepaswa kuabudiwa kwa haki" yaani ni kama codes zimekua programmed kwenu, na mbaya zaidi hamtaki kufikiria nje ya hapo!.Kama alifundisha ndo ina maana yeye ndo mtunzi ?
Ivi mwalimu wa hesabu akifundisha kanuni darasani, ina maana kwamba yeye ndo ameitunga ?
Hivi unatumia akili yako kufikiria kweli ?