Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

ndio akili yangu inafanya kazi,

sasa, twende polepole kwani kuna ulimwengu mingapi!?. kwa mujibu wa imani yako
Usijitoe kwenye lengo la swali, nakuuliza tena "katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter, kuna chochote kinaweza kuwepo bila kuundwa na muundaji?'
 
Kweli mkuu hawana hoja wanakimbia mnoo kujibu maswali
Kuna mmoja anajiita Kiranga,nilimbana ajibu maswali mpaka akajibu,sasa hayo majibu ndiyo yalionyesha kwa namna gani alivyo mtupu.

Hawa dawa yao wanapo kimbia maswali,una wabana mpaka wajibu. Sasa wakijibu ndipo unapo malizana nao. Yaani watupu mno. Hii ndiyo kanuni yangu naishi nayo,yaani siendi nuktq nyingine mpaka wajibu swali.
 
Okay naamua ku assume kua unayosema ni sahihi!.(japo si sahihi) sasa my next question is huyo muundaji!? kaundwa na nani?? kama hana aliemuumba unapingana nini na mimi kukuambia pia ulimwengu haukuundwa!?
Bado hujajibu swali jibu swali kwanza Mkuu, maana mmekua mkikimbia sana kujibu maswali "katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter, kuna chochote kinaweza kuwepo bila kuundwa na muundaji?'
 
Okay naamua ku assume kua unayosema ni sahihi!.(japo si sahihi) sasa my next question is huyo muundaji!? kaundwa na nani?? kama hana aliemuumba unapingana nini na mimi kukuambia pia ulimwengu haukuundwa!?
Jifunze kutumia maneno inavyo takiwa,unajua kama kuna tofauti kati ya kuunda na kuumba ?
 
Kuna mmoja anajiita Kiranga,nilimbana ajibu maswali mpaka akajibu,sasa hayo majibu ndiyo yalionyesha kwa namna gani alivyo mtupu.

Hawa dawa yao wanapo kimbia maswali,una wabana mpaka wajibu. Sasa wakijibu ndipo unapo malizana nao. Yaani watupu mno. Hii ndiyo kanuni yangu naishi nayo,yaani siendi nuktq nyingine mpaka wajibu swali.
Tangu niulize swali kwenye post #584 mpaka muda huu hakuna Atheist aliejibu zaidi ya kukimbia kimbia
 
Tangu niulize swali kwenye post #584 mpaka muda huu hakuna Atheist aliejibu zaidi ya kukimbia kimbia
Sasa shikilia hapo hapo,wakijibu tu lazima ucheke. Ndiyo maana huwa tunawaambia hivi imani ya ukana Mungu ni ugonjwa wa akili.
 
Jf inaweza ikawa mtandao unaongoza kuwa na watu wabishi [emoji23][emoji23]

Ova
 
Kiranga , Scars na Atheist wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi

Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
Mfano wa swali hili,nimeshawauliza sana lakini hawajibu,huwa nawaambia ya kuwa wakana Mungu hawakuanza leo wala jana bali tangu na tangu,tena wenzao walikuwa na maarifa mengi na mapana sana kuliko hawa wakukariri bila kufikiri.

Nikawawekea aya katika Qur'aan ikiwauliza na mimi huwa nawaambia swali hilo ni ushahidi tosha wa uwepo wa Mola.

Aya inasema hivi :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Hapo wanakimbia.
 
umeuliza swali fikirishi na zuri, hivyo vitu vyote vinatokana ulimwengu, namaanisha kua ulimwengu upo haukuumbwa ila una manifest wenyew katika kuumba different species !.. sasa hvi tumefikia hatua hata mwanadamu anaumba such species mfano bacteria virus n.k mfano mzuri ni wachina wamewaumbia COVID-19 virus in future binadamu ataumba wanyama kulingana na kukua kwa teknolojia!. its a matter of time,..

sitegemei kuona ukiendelea kusema swali #584 limekimbiwa.

Thibitisha mungu yupo!.. mpaka sasa hamjathibitisha ila mnatumia mifano ya vitu mnavyoshindwa kuelezea vilipotoka kua vimetengenezwa na mungu,..
 
Mfano wa swali hili,nimeshawauliza sana lakini hawajibu,huwa nawaambia ya kuwa wakana Mungu hawakuanza leo wala jana bali tangu na tangu,tena wenzao walikuwa na maarifa mengi na mapana sana kuliko hawa wakukariri bila kufikiri.

Nikawawekea aya katika Qur'aan ikiwauliza na mimi huwa nawaambia swali hilo ni ushahidi tosha wa uwepo wa Mola.

Aya inasema hivi :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Hapo wanakimbia.
mkuu, hiyo aya yako ina swali ambalo sio legit kwani linanitaka kujibu kwa mlengo wa uumbaji,.. swali lilitakiwa kuuliza tumetokana na nini!?.

sasa kama unaniuliza maswali yanayo- speculate unategemea ntakupa majibu!?.. nashangaa hilo swali linatoka kwenye koran, yenyew inaulizaje maswali dhaifu na yaliyo limited!?
 
mkuu, hiyo aya yako ina swali ambalo sio legit kwani linanitaka kujibu kwa mlengo wa uumbaji,.. swali lilitakiwa kuuliza tumetokana na nini!?.
Nimecheka sana,hivi umeisoma hiyo aya au una ruka ruka. Unachokitaka wewe kimo humo,hujaona tamko "...kitu chochote..". Tamko hilo limebeba hayo yote.

Sasa onyesha uwezekano wa kukaa swali unalotaka wewe kisha ujibu maswali haya :

1. Kilicho kufanya wewe utokee kina sifa gani ?

2. Je kina nasibishwa na uumbaji au uundaji na kwanini ?

3. Je kina maarifa na ujuzi ?

4. Je kina malengo au hakina malengo ya mpaka kikafanya wewe utokee ?

5. Hicho kilichofanya wewe utokee ni nino hasa ?

6. Lugha gani katika lugha za kilimwengu ina ungw mkono swali lako hilo hasa katika utokeaji wa ulimwengu na uwepo wa mwanadamu ? Je ni "nini ?" au "nani ?" ?

7. Hiko nini unakijua ? Maana kilugha "nini" hakina uwezo wa kufanya bila msaada wa kingine. Unalijua hilo ?

Angalizo usikimbie hata swali moja.
sasa kama unaniuliza maswali yanayo- speculate unategemea ntakupa majibu!?.. nashangaa hilo swali linatoka kwenye koran, yenyew inaulizaje maswali dhaifu na yaliyo limited!?
Sababu hakuna nje ya namna hiyo ya uulizaji ikakubali na kuleta maana. Qur'aan ni fasaha sana,sababu inatoka kwa Mola.

Bali kutumia tamko "nini ?" katika uulizaji kwa munasaba wa chenye akili ni matumizi mabaya akili. Sababu nini hakina sifa ya kuunda wala kuumba,na lugha ina hukumu.

Sasa ng'amua tamko nini,ili uone kama Qur'aan ni dhaifu au dhaifu wewe.
 
Kama alifundisha ndo ina maana yeye ndo mtunzi ?

Ivi mwalimu wa hesabu akifundisha kanuni darasani, ina maana kwamba yeye ndo ameitunga ?

Hivi unatumia akili yako kufikiria kweli ?
asante, mwalimu wangu ananifundisha kitu ninachoweza kukihakiki, vipi wewe alichowafundisha mmeweza kukihakiki? au ni vile mmekua commanded!? like "Sema: Mungu ni mmoja, yeye ndo mmiliki wa vyote, yeye ndie peke ake anaepaswa kuabudiwa kwa haki" yaani ni kama codes zimekua programmed kwenu, na mbaya zaidi hamtaki kufikiria nje ya hapo!.

Poleni sana!.
 
Back
Top Bottom