Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Ona sasa huzingatii masomo, mi naelekeza hiki we uko bize na kile.

Afu una mindset ya kitumwa, karne hii kuamini mtu anayetumia kiingereza ni indication ya kuwa na uwezo mkubwa kuhoji pamoja na conspiracy ya kumtoa mtu kwenye reli ni upimbi
 
Hahahaha Mkuu unanifurahisha sana.

Anyway. Unanilazimisha niulize utakavyo wewe, yaan wewe unaetakiwa kujibu swali unipangie mimi muulizaji jinsi ya kuuliza. Haya ni maajabu nayashuhudia kwako.

Umesema swali langu lina utata, nimekupa nafasi uniambie huo utata haujaniambia. Mimi nikueleweje Mkuu.

NB: Bado nasubiri majibu kama unayo nipe, kama hauna niambie pia.
 
Swali lina utata gani?
Umesema ulimwengu unao onekana, hii kwangu ni hoja tata kwasababu ni kama unanielekeza kwa kunitofautishia na ulimwengu mwingine ambao hauonekani

Pili umedai kua kila kinacho onekana katika ulimwengu huu ni LAZIMA kiwe KIMEUNDWA

hapa pia pana utata

1. Mpaka unafikia kusema kua kila kinacho onekana ni lazima kiwe kimeundwa tafsiri yake ni kwamba ushafanya research na ukafikia conclusion with no doubt kua ni lazima kuwe na MUUNDAJI

Sasa hiyo research mimi sijaiona, nitathibitisha vipi kua ULAZIMA huo ni necessary? Kwa hiyo weka calculations zinazothibitisha kua kila kinacho onekana kimeundwa

2. Neno MUUNDAJI linani changanya, shabaha yako ni nini unaposema muundaji? Kwasababu ni swali ambalo limelenga kupata aina fulani ya jibu ambalo jibu hilo lipo specific kua ni lazima kuwe na dhana kama ya mtu, au kiumbe chochote lakini sio kwa kitu chochote ambacho hakiwezi kuwa refered kwa neno MUUNDAJI

mfano kama mtu akisema nani anayeleta mvua, kwangu hilo swali halija kaa poa kwasababu najua sababu ya mvua ni combination ya series ya vitu ambavyo huwezi kuvi refer kama MUUNDAJI, kama vile mawingu, sasa nafasi ya neno NANI hapo ina fit wapi?
 
Mbona we unanipangia nijibu swali kwa namna ambavyo unataka wewe mi sisemi?

Utata nishakutajia uko wapi rudia kusoma post zangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu kutengeneza vitu haimaanishi na viumbe tumeumbwa. Science inaonyesha asili ya viumbe wote duniani na hamna sehemu ilionyesha tuliumbwa kwa udongo tukapuliziwa pumzi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu kutengeneza vitu haimaanishi na viumbe tumeumbwa. Science inaonyesha asili ya viumbe wote duniani na hamna sehemu ilionyesha tuliumbwa kwa udongo tukapuliziwa pumzi.
Kuna mwamba mmoja humu maarufu alisema binadamu tumeumbwa kwa udongo kwasababu hata miili yetu imethibitishwa kuwa na madini ambayo yanapatikana kwenye udongo

Huyo mwamba alipewa kongole sana, mi nikamuuliza vyakula vyote tunavyokula vinatoka ardhini utasemaje kua hayo madini ya mwilini yametokana na udongo alioutumua mungu kuumba na sio kwamba kupitia vyakula tunavyokula vilivyo absorb hayo madini ardhini?

Mwamba akanyuti hakutaka kabisa kunijibu
 
Unaweza ukahisi umeuliza swali gumu lakini ni utopolo majibu ya maswali yako mengi sayansi imeshayatolea maelezo na mengine yapo kwenye utafiti zaidi . Ningependa kukusaidia kukupa majibu ila nataka uchangamshe ubongo wako uyatafute majibu.

Ninachojua hata hiyo dini unayo ishabikia haijajibu hayo maswali zaidia ya kusema sentensj moja tuu kuwa mungu ndio ameviumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hamna supporting evidence kama aliviumba
 
Waafrika bado wapi mwaka 960AD. Mtu anauliza kuwa kwanini kuna aina tofauti za ndege, wanyama na nani amemuumba binadamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hua namwambia mtu dini na idea za mungu zilikuja baadae baada ya binadamu kugundua moto na kuanza kupata more carolies kutoka cooked food akaanza kukaa na wenzake akatengeneza lugha maana alikua na free time.
 
Hiki ulichokiandika ni pumba, ukiwa open minded nistue tufanye mjadala kibusara
Yani hapo anahisi ameuliza jambo gumu sana wakati maswali mimgine yalishajibiwa miaka 1000 iliyopita.
Mtu kama huyu bado anasema mungu pekee ndio anayejua kuwa kati ya yai na kuku nani alianza kutonea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wana fosi dunia iwe na umri miaka 6000 eti kwasababu vitabu vyao vimeandika, afu kimbembe ni pale wanapotaka kuzielezea zircon cyrstal ambazo zina 4.4 bilion age
 
Ulimwengu unaoonekana kwa macho namaanisha, unaweza kuona kwa macho yako wewe kama binadamu yaan unaweza kuona huyu ni samaki, haya ni matunda, ule ni mwezi, zile ni nyota n.k

Haya, naendelea kusubiri majibu.
Je unaweza kuona atom au virus
 
Mkuu, unaweza kunijuza kuna chochote katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na formation yake? /Muundaji
Physics laws, some chemistry and evolution imesababisha hiyo formation
 
Wana fosi dunia iwe na umri miaka 6000 eti kwasababu vitabu vyao vimeandika, afu kimbembe ni pale wanapotaka kuzielezea zircon cyrstal ambazo zina 4.4 bilion age
Huwa nawaambia tuu kipindi pyramid zinamaliziwa kujengwa jehova alikua hayupo na alikua hajaongea na ibrahim yani kipindi hiko amunrah , osir asis na wengine ndio walikua habari ya mjini na wao walitamba kuumba wanadam[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena idea zao zilikaa miaka mingi zaidi kuliko hizi story za middle east
 
Sasa unabishanaje na theist ambaye hata historia tu ya dini yake haijui? Afu ujinga zaidi ni wao kuamini kua ndio wanaelewa vifungu vya maandiko ipasavyo kuliko atheist

Miungu kama Ra imeanza kuabudiwa wayback kabla hata biblia haijaandikwa, leo hii mtu anaandika biblia ndani ya biblia hiyo anasema hili bi neno la kweli la mungu
 
Huwa namaliziaga na hii statement kama kuna mungu basi kitu cha karibu kufananisha na mungu ni jua maana bila jua viumbe vingi vitapotea kama sio kuisha vyote. So jua ni kitu kilichongia maisha sana humu duniani
 
Namaanisha Mungu alieumba ulimwengu usioonekana kwa macho na ulimwengu huu unaoonekana kwa macho ambao tunaishi viumbe hai vyote katika sayari hii dunia na vyote vilivyomo kama wanyama, samaki, miti, jua, mwezi, nyota, binadamu n.k
ulimwengu usioonekana wewe umeujua vipi, Nani kakwambia? Thibitisha kwanza mungu yupo
 

Unajua hapo kuna vitu viwili,kuna hoja ya kwamba kila kilichopo kina chanzo Na kuna hoja ya kuwepo Mungu kuwa ndio chanzo cha hivyo vitu vyote na yeye hana chanzo.

Sasa wewe unaweza kuwa na una hoja ya msingi kwenye maswali yako ila sijajua kwamba hii hoja ya kwanza ya kwamba kila kilichopo kina chanzo unaikubali au unaipinga? yani ukiachana na hiyo hoja ya pili ya kuwa Mungu ndio chanzo cha hivyo vitu vyote na kuwa yeye hana chanzo.
 
ulimwengu usioonekana wewe umeujua vipi, Nani kakwambia? Thibitisha kwanza mungu yupo
Hivi mnavyotaka mthibitishiwe Mungu, huwa mnataraji nini katika huo uthibitisho yani mnataka muoneshwe huyo Mungu au ni kipi hasa ambacho mnakikusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…