Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Naichukia sana iyo comment yangu
 
Iyo ni individual haijaandikwa popote mtoto umtie kilema au kuua lakini nazungumzia hukumu ya Jehanamu if you go against ten commandments of God as the book of bible said
Kwani wewe uliuliza swali gani?
 
Sijasahau bali nataka ukumbuke maana naona wewe ndio umesahau ulichouliza.
Sijasahau bali nataka ukumbuke maana naona wewe ndio umesahau ulichouliza.
Mkuu hukusoma life skills ?kwenye uraia . family care and punishment zinazotolewa ni tofauti,ingawa izo kali sio nyingi na haki za binaadam wapo nyuma (human right and laws enforces).Ila za kitabu kitakatifu kime generalize ni hukumu ya milele ya moto wa Jehanamu na dhambi zote zina equal weight.Ndo ukasema hata watoto wanaadhibiwa,nikakuuliza ushawahi mpa mtoto wako adhabu ya milele inayofanana na moto wa jehanam?
 
Kwa ufafanuzi wako huu nahitimisha kuwa kwangu mimi hakuna kitu kinachoitwa uchawi.

Na kwa kuwa swali hilo pia ulikuwa umemlenga mwingine acha tuone mtazamo wake juu ya hilo na yeye.
 
Aisee! basi ngoja niwaache muendelee.
 
Hakuna mtu anayezaliwa akiwa atheist, elimu dunia iliyopitiliza ndo chanzo cha maatheist wote ulimwenguni.
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
Kila mtoto anazaliwa akiwa akili yake bado haijakomaa (unmatured) na kwa kadili anavyokua inaendelea kukomaa(matured) na kujifunza mambo mbalimbali.

Hakuna mtoto anaezaliwa akiwa Atheist, anapokua matured ndio wengine hujifunza na huamini mlengo huo wa Atheist.

Hivyo hakuna mtoto yoyote anaezaliwa akiwa Atheist.
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anaamini kwenye uwepo wa mungu mpaka awe indocrinated na wazazi utotoni. Anavyoendelea kukua na uwezo wake wa kuchanganua mambo unaongezeka na akipata scientific education vizuri akirudi kusoma vitabu vya dini atagundua ni upuuzi umo mule.

Ondoa indocrination na vitisho vya kwenda motoni mnavyowapa watoto. Mapema tu atagundua mambo ya dini ni kupotezeana mda tu
 
Ndio nahitaji wewe unijuze vilitokea wapi? (Formation) yake Au wewe hujui vilitokea wapi?
Swali lako lina mapungufu, nakuuliza una uhakika upi kuwa vilitokea?

Badala ujibu unazidi kuniuliza tena vilitokeaje, unaelewa lakini hata ninachokuomba ufafanue?
 
Ni wa kufikirika kwa sababu ni wewe tu umemuibuia. Hakuna mtu mwingine duniani, kama ambavyo nimesema jamii zote duniani, zina idea ya Mungu however remotely it is. Lakini kwa huyo mwenye kichwa kikubwa tena kuwa Mkapa Stadium ambayo inajulikana ilijengwa lini, then huyo mwenye kichwa kikubwa chako ni finite, wakati Mungu ni infinite na huwezi kumweka mahali. He's beyond space and time and cannot be limited by laws of nature. Huyo kichwa kikubwa wako is limited by space and time na ndiyo maana unaweza kumkuta huko Mkapa Stadium (akiwa stationary) and he's under the laws of nature. Nimeshasema mara nyingi kuwepo kwa Mungu hakuhitaji mtu athibitishe au ashindwe kuthibitisha - whether uthibitishe au usithibitishe - Mungu yupo. Mfano, mimi siwezi kuthibitisha kama yupo, lakini pia kushindwa kwangu siyo ushahidi kuwa hayupo. Mimi nikishindwa kuthibitisha jinsia yako (kwa mfano) siyo ushahidi kuwa wewe huna jinsia.
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
Kwani atheist ni mtu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…