Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Muongo umepigwa za mbavu ''upumbavu'' ni kwa mwenye kumuona mpumbavu. lkn ndani yake ni yu Mwelevu wa mwalimu wako! Yesu na hata Manabii wote ndugu zao waliwaona wapumbavu lkn hao ndo waliongea hekima ya Mungu mpaka sasa!

Anae hukumu upumbavu! ni mpumbavu
Naichukia sana iyo comment yangu
 
Iyo ni individual haijaandikwa popote mtoto umtie kilema au kuua lakini nazungumzia hukumu ya Jehanamu if you go against ten commandments of God as the book of bible said
Kwani wewe uliuliza swali gani?
 
Sijasahau bali nataka ukumbuke maana naona wewe ndio umesahau ulichouliza.
Sijasahau bali nataka ukumbuke maana naona wewe ndio umesahau ulichouliza.
Mkuu hukusoma life skills ?kwenye uraia . family care and punishment zinazotolewa ni tofauti,ingawa izo kali sio nyingi na haki za binaadam wapo nyuma (human right and laws enforces).Ila za kitabu kitakatifu kime generalize ni hukumu ya milele ya moto wa Jehanamu na dhambi zote zina equal weight.Ndo ukasema hata watoto wanaadhibiwa,nikakuuliza ushawahi mpa mtoto wako adhabu ya milele inayofanana na moto wa jehanam?
 
Uchawi (kwa Kiingereza "Witchcraft") ni nguvu zinazotumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

Lengo lake ni kujaribu bahati ya mtu na kujilinda na maadui wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujifurahisha, japo wenye imani potofu hulichukulia maanani na kupandikiza chuki kwa ndugu jamaa hata jirani kuwa ni mchawi.
Kwa ufafanuzi wako huu nahitimisha kuwa kwangu mimi hakuna kitu kinachoitwa uchawi.

Na kwa kuwa swali hilo pia ulikuwa umemlenga mwingine acha tuone mtazamo wake juu ya hilo na yeye.
 
Mkuu hukusoma life skills ?kwenye uraia . family care and punishment zinazotolewa ni tofauti,ingawa izo kali sio nyingi na haki za binaadam wapo nyuma (human right and laws enforces).Ila za kitabu kitakatifu kime generalize ni hukumu ya milele ya moto wa Jehanamu na dhambi zote zina equal weight.Ndo ukasema hata watoto wanaadhibiwa,nikakuuliza ushawahi mpa mtoto wako adhabu ya milele inayofanana na moto wa jehanam?
Aisee! basi ngoja niwaache muendelee.
 
Hakuna mtu anayezaliwa akiwa atheist, elimu dunia iliyopitiliza ndo chanzo cha maatheist wote ulimwenguni.
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
 
Kila mtoto anazaliwa akiwa akili yake bado haijakomaa (unmatured) na kwa kadili anavyokua inaendelea kukomaa(matured) na kujifunza mambo mbalimbali.

Hakuna mtoto anaezaliwa akiwa Atheist, anapokua matured ndio wengine hujifunza na huamini mlengo huo wa Atheist.

Hivyo hakuna mtoto yoyote anaezaliwa akiwa Atheist.
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anaamini kwenye uwepo wa mungu mpaka awe indocrinated na wazazi utotoni. Anavyoendelea kukua na uwezo wake wa kuchanganua mambo unaongezeka na akipata scientific education vizuri akirudi kusoma vitabu vya dini atagundua ni upuuzi umo mule.

Ondoa indocrination na vitisho vya kwenda motoni mnavyowapa watoto. Mapema tu atagundua mambo ya dini ni kupotezeana mda tu
 
Ndio nahitaji wewe unijuze vilitokea wapi? (Formation) yake Au wewe hujui vilitokea wapi?
Swali lako lina mapungufu, nakuuliza una uhakika upi kuwa vilitokea?

Badala ujibu unazidi kuniuliza tena vilitokeaje, unaelewa lakini hata ninachokuomba ufafanue?
 
Kwa nini unasema ni wa kufikirika? Basi mimi nasema mtu huyu mwenye kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia yupo mle ndani ya uwanja wa Mkapa anaishi.

Sababu kitu hiki hakina tofauti na Mungu wenu alivyo wa kufikirika tu.

Kama ambavyo inaleta contradictions kwenye suala la mtu huyo kuwa ndani ya uwanja ndivyo ambavyo inaleta contradictions kwa Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kuwa yupo with respect to this incomplete universe.

Ni aidha uwanja wa Mkapa uwepo bila mtu huyo kuwepo ama mtu huyu awepo bila uwanja wa Mkapa kuwepo,maana anaweza enea huko nje ya dunia hii.

Vivyo hivyo ni aidha Ulimwengu huu uwepo bila uwepo wa huyo Mungu ama Mungu huyo awepo bila Ulimwengu huu kuwepo.

Na kwa kuwa uwanja wa Mkapa upo basi mtu huyo hayumo mle ndani, kadhalika kwa kuwa Ulimwengu huu upo basi Mungu huyo mnayemsema kaumba huu Ulimwengu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake!.
Ni wa kufikirika kwa sababu ni wewe tu umemuibuia. Hakuna mtu mwingine duniani, kama ambavyo nimesema jamii zote duniani, zina idea ya Mungu however remotely it is. Lakini kwa huyo mwenye kichwa kikubwa tena kuwa Mkapa Stadium ambayo inajulikana ilijengwa lini, then huyo mwenye kichwa kikubwa chako ni finite, wakati Mungu ni infinite na huwezi kumweka mahali. He's beyond space and time and cannot be limited by laws of nature. Huyo kichwa kikubwa wako is limited by space and time na ndiyo maana unaweza kumkuta huko Mkapa Stadium (akiwa stationary) and he's under the laws of nature. Nimeshasema mara nyingi kuwepo kwa Mungu hakuhitaji mtu athibitishe au ashindwe kuthibitisha - whether uthibitishe au usithibitishe - Mungu yupo. Mfano, mimi siwezi kuthibitisha kama yupo, lakini pia kushindwa kwangu siyo ushahidi kuwa hayupo. Mimi nikishindwa kuthibitisha jinsia yako (kwa mfano) siyo ushahidi kuwa wewe huna jinsia.
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
Kwani atheist ni mtu gani?
 
Back
Top Bottom