Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Mkuu, mimi nataka kujua naomba unijuze hivi vitu vyote vimetokeaje? Kwa uthibitisho wa kisayansi na si kwa majibu ya kufikirika.Kwani wewe kuamini kuwa Diamond Platinumz ndiye Baba Mzazi wa Mzee Mwinyi kunafanya kweli Diamond awe ndiye Baba Mzazi wa huyo Rais Mstaafu?
Kuhusu formation ya vitu bado hujathibitisha kama vina formation.
Na kwa sababu ya ujinga wako unalazimisha kila kitu kiwe na formation bila kwanza hata kuleta huo uthibitisho kama vina formation.
Unipe majibu ambayo yanathibitishika kisayansi na si hadisi ya kusimulika. Kama unayo majibu nijulishe kama hauna au haujui pia nijulishe.