Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Mkuu, mimi nataka kujua naomba unijuze hivi vitu vyote vimetokeaje? Kwa uthibitisho wa kisayansi na si kwa majibu ya kufikirika.Kwani wewe kuamini kuwa Diamond Platinumz ndiye Baba Mzazi wa Mzee Mwinyi kunafanya kweli Diamond awe ndiye Baba Mzazi wa huyo Rais Mstaafu?
Kuhusu formation ya vitu bado hujathibitisha kama vina formation.
Na kwa sababu ya ujinga wako unalazimisha kila kitu kiwe na formation bila kwanza hata kuleta huo uthibitisho kama vina formation.
Haujanitajia umesimulia hadithi isiyo na uthibitisho wa kisayansi.Nishakutajia, unataka jibu gani?
Hakuna anaekulazimu, mimi nataka kujua hivyo vitu vimetokeaje(formation) kwa uthibitisho wa kisayansi. Unachofanya wewe ni kunizungusha tu.Tunachokifanya hapa ni wewe unanilazimu ni switch kutoka kwenye mjadala kwenda kwenye somo
Umejuaje siyo ithibati ya kisayansi wakati sayansi huijui?Haujanitajia umesimulia hadithi isiyo na uthibitisho wa kisayansi.
Sasa sikiliza, nenda kajisomee hayo masomo afu ukishaona umeelewa uje hapa tufanye mjadalaHakuna anaekulazimu, mimi nataka kujua hivyo vitu vimetokeaje(formation) kwa uthibitisho wa kisayansi. Unachofanya wewe ni kunizungusha tu.
Uthibitisho siwezi kukupea Jf lazima tuwe laboratory.Mkuu, mimi nataka kujua naomba unijuze hivi vitu vyote vimetokeaje? Kwa uthibitisho wa kisayansi na si kwa majibu ya kufikirika.
Unipe majibu ambayo yanathibitishika kisayansi na si hadisi ya kusimulika. Kama unayo majibu nijulishe kama hauna au haujui pia nijulishe.
Ili uelewe Evolution ni lazima uwe na knowledge ya Genetics hizi sio topic ndogo za biology siwezi nikakueleza kupitia JF ukaelewe. Ushahidi wa kisayansi wa evolution upo wakutosha lakini siwezi nikakuonesha fossils na kukuelezea kupitia social media hutanielewa Biology sio maandiiko ya biblia useme kila mtu atatafsiri anavotaka hii ni science it is based on facts and practical demonstration to prove the factsHakuna anaekulazimu, mimi nataka kujua hivyo vitu vimetokeaje(formation) kwa uthibitisho wa kisayansi. Unachofanya wewe ni kunizungusha tu.
Utofauti upo sababu ukisema mungu ni muumbaji wa vitu tunavyoviona umeleta swali lingine mungu yeye aliletwa na naniEeeh Mkuu kila kilichopo katika ulimwengu huu tunaoishi kipo limited to time, space and matter, lazima kina formation yake na kiwe kimeundwa na muundaji.
Unaposema nisione shida nikiambiwa dunia ilikuwepo tu haina chanzo, nitakua na wasiwasi nauwezo wako wa kufikiri
Kwanini?
Kwasababu vitu vyote hivi vinawezaje kuwepo bila kuwa na formation? Tena iliyo proved scientifically
Ukiniambia vilikuwepo tu, how? Vilikuwepo tu kwa kifikirika ama kimiujiza?
Sasa ukisema hivi vitu vilikuwepo tu, unatofauti gani na anaeamini Mungu ndie muumbaji.
Wewe si unajiita ni Atheist, thibitisha hivi vitu vimetokeaje (formation) kwa uthibitisho wa kisayansi, na si kwa majibu ya kufikirika.
Wewe ndiye unaleta habari za kukariri formation bila uthibitisho.Mkuu, mimi nataka kujua naomba unijuze hivi vitu vyote vimetokeaje? Kwa uthibitisho wa kisayansi na si kwa majibu ya kufikirika.
Unipe majibu ambayo yanathibitishika kisayansi na si hadisi ya kusimulika. Kama unayo majibu nijulishe kama hauna au haujui pia nijulishe.
Chochote kinachoonekana? Kwa hiyo hewa kwa kuwa haionekani haina formation siyo?Kwasababu chochote kinachoonekana kipo limited to time, space and matter lazima kiwe na formation
Unaniambia A imetokana na B, bila kuniambia B imetokea wapi kwanza na imesababishaje A. Je B imetokea tu gafla?Umejuaje siyo ithibati ya kisayansi wakati sayansi huijui?
Ndio kichaka cha kukimbia swali langu, wewe uliesoma weka hapa majibuSasa sikiliza, nenda kajisomee hayo masomo afu ukishaona umeelewa uje hapa tufanye mjadala
Kwanini ushindwe kutoa hapa, elezea hata theoritically sio lazima practically.Uthibitisho siwezi kukupea Jf lazima tuwe laboratory.
Uniambie hizo facts how those thing were formed, ukisema huwezi kunielezea unanipa ukakasi. Mimi nataka kujua (scientifically)Ili uelewe Evolution ni lazima uwe na knowledge ya Genetics hizi sio topic ndogo za biology siwezi nikakueleza kupitia JF ukaelewe. Ushahidi wa kisayansi wa evolution upo wakutosha lakini siwezi nikakuonesha fossils na kukuelezea kupitia social media hutanielewa Biology sio maandiiko ya biblia useme kila mtu atatafsiri anavotaka hii ni science it is based on facts and practical demonstration to prove the facts
Pia tambua wewe unaesema hakuna uwepo wa Mungu, umeleta swali jingine je hivi vitu vimetokea wapi? (Formation) ndio uniambieUtofauti upo sababu ukisema mungu ni muumbaji wa vitu tunavyoviona umeleta swali lingine mungu yeye aliletwa na nani
Unaelewa maana ya practical demonstration hakuna test tube jamii forum hakuna kifaa chochote Cha biology laboratory HAKIPO hivi sio vitu vya maneno inatakiwa uone kwa macho kwanza ndo maelezo yafate tofauti na hapo ntakuwa najichosha kukuelezaUniambie hizo facts how those thing were formed, ukisema huwezi kunielezea unanipa ukakasi. Mimi nataka kujua (scientifically)
Basi kama wewe unasema mungu alivileta tupe ushahidiPia tambua wewe unaesema hakuna uwepo wa Mungu, umeleta swali jingine je hivi vitu vimetokea wapi? (Formation) ndio uniambie
Mkuu, bado haujanijibu swali langu. Mimi nataka kujua hivyo vitu vyote vimetokea wapi (formation) zake, naona unazunguka bila kunipa jibuWewe ndiye unaleta habari za kukariri formation bila uthibitisho.
Na unachokifanya hapa ni kunilazimisha nikwambie jinsi Diamond alivyomlala Wema na kumzaa Mzee Mwinyi bila kwanza kuthibitisha kama ni kweli Diamond ndiye mzazi wa Mzee Mwinyi.
Unaweza kunipa uthibitisho wa kuwa Diamond ndiye Mzazi wa Mwinyi?
Una uhakika upi kwanza kwamba vitu hivyo vilitokea?
Kwa nini huu ufafanuzi unaukwepa?
Nasisitiza tena mkuu, naomba kujua hivyo vitu vimetokea wapi (formation) zake? Wewe unasema hakuna uwepo wa Mungu, naomba kujua (formation) ya hivyo vitu.Chochote kinachoonekana? Kwa hiyo hewa kwa kuwa haionekani haina formation siyo?
I have told you earlier, time fundamentally is not real, it is a manifestation and limitation in speed and relative movements
Unaelewa hata maana ya hayo maelezo au ndiyo umeshakiriri tu time,space na matter ambazo unaziimba bila hata kuonesha huyo Mungu wako kwamba yuko kweli beyond hizo parameters au hayupo kabisa!?
Wewe mwenyewe unazunguka hujatupa jibu kama mungu ndio alivileta mungu ye alitokea wapiMkuu, bado haujanijibu swali langu. Mimi nataka kujua hivyo vitu vyote vimetokea wapi (formation) zake, naona unazunguka bila kunipa jibu