Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
vyanzo ambavyo umevithibitisha vipi?Maneno ya biblia ni kweli kwa sababu yametoka kwa vyanzo vinavyoaminika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyanzo ambavyo umevithibitisha vipi?Maneno ya biblia ni kweli kwa sababu yametoka kwa vyanzo vinavyoaminika.
Nimesema matoleo ni tafsiri inayotokana na mahitaji ya wakati na ukuaji wa msamiati na siyo tofauti ya ujumbe. Hivyo, matoleo yote yanalenga kitu kilekile. Ni kama researches mbalimbali za wanasayansi zinatolewa kwanza kwenye lugha zao na kisha zinatafsiriwa katika lugha mbalimbali kutokana na mahitaji. Hii haina maana kwamba kutakapotokea matoleo kadhaa then maudhui na maana ya utafiti fulani unabadilika na kumaanisha kitu tofauti na alivyosema mtafiti mwenyewe.Kati ya hayo ni lipi la ukweli zaidi au ramsi kuliko mengine?
Mkuu kiranga unafahamu vipi kwa mifano yako kuwa square root ya 2 sio 10 na kwamba binti wa miaka mitano hawezi kumzaa bibi wa miaka 70 wakati kila kitu, kwa mujibu wako, kinatokea kwa chance?Nimekueleza kwamba sihitaji kujua square root ya 2 ni ipi kujua kwamba 10 si square root ya 2, kama najua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, na jibu la 10 lina contradict requirement hiyo.
Umeelewa huo mfano?
Unaelewa unachofanya ni kuniambia tutest kama 10 ni square root ya 2 na mimi nakwambia unatafuta jibu upande usiohusika, upande unaohusika ni ule ulio chini ya 2, kwa sababu upande ulio juu ya 2 wote hauwezi kuwa square root ya 2, una contradiction.
Nimekuonesha kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu uwepo wake unakuwa contradicted na dunia tunayoiona, kwa hivyo formation yoyote iliyosababisha jua, nyota, dunia, mito na mazagazaga yote uliyoyataja, ikiwa vyovyote vile, si Mungu huyo.
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Nimejuaje kuwa hayupo?
Mungu huyo hayupo kama vile ambavyo hakuna binti fictional character wa miaka mitano mwenye mtoto wa kumzaa wa miaka sabini.
Binti wa miaka mitano hawezi kuwa na mtoto wa kumzaa mwenyewe aliye mzee wa miaka sabini.
Hiyo ni contradiction kubwa sana.
Sasa wewe unaniuliza, huyu mzee wa miaka sabini mama yake nani?
Mimi nakwambia hivi, hata nisipomjua mama yake huyo mzee wa miaka sabini, mama yake hawezi kuwa huyo binti wa miaka mitano. Kwa sababu huyo binti kazaliwa miaka 65 baada ya huyo mzee kuzaliwa, hivyo hawezi kuwa mama yake wa kumzaa.
Katika mjadala wa kutazama kama huyo binti wa miaka mitano ni mama wa kumzaa mzee wa miaka sabini, tukisha prove kwamba huyo binti hawezi kuwa mama yake huyo mzee, suala la nani mama yake huyo mzee ni irrelevant, kwa sababu hoja ni kama binti kamzaa huyo mzee, hoja si mama yake mzee ni nani.
Mimi hoja yangu ni Mungu hajauumba ulimwengu huu, kwa sababu hayupo. Hayo mengine ya nani kaumba galaxy au imetokeaje, mpaka leo wanasayansi wanayasoma na mengine hawajapata jibu la kumaliza mjadala.
Lakini hilo halifanyi jibu la Mungu lipewe nafasi ya kuweza kuwa jibu sahihi.
Kwa sababu, unaweza kutojua square root ya 2 ni nini, huna jibu kamili la swali, ukajua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko mbili, ukajua kwamba jibu la kwamba square root ya 2 ni 10 ni potofu.
Sasa mimi nimeshakuonesha kwamba dhana nzima ya uwepo wa Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ni potofu, kwa sababu ina contradiction. The problem.of evil contradicts the existence of such a God.
Hiyo ndiyo hoja yangu.
Wewe unarudi kwenye kujadili formation of galaxies.
Kama unataka kujua formation ya galazies chukua kozi ya astronomy, jifunze, kuna mengi hayajapata majibu mpaka leo na kila siku wanazuoni wanachapa papers.
Lakini jibu la Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote halipo katika majibu sahihi ya formationnof galaxies.
Kwa sababu ni jibu la aina ya "square root ya 2 ni 10". Liko upande mbaya wa contradiction.
Sasa, tafadhali usiniulize kama square root ya 2 ni 10, wakati tushajadili kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.
Ukiuliza hivyo nitatilia shaka uwezo wako wa kuelewa mambo.
sayansi haisemi kua imekamilika, na ndio maana inakosolewa.Hata wewe unazungumzia sayansi inayosema 'jua liko stationary na dunia ndiyo inayozunguka' na naamini unazungumzia pia sayansi inayokubaliana na evolution, according to Darwin. Je, tuseme unapozungumzia saysnsi una'include' hata alternative theories to Darwinism such as Lamarckism, orthogenesis, saltationism, catastrophism and creationism? Ninapoongelea maandiko matakatifu naongelea maandiko yote matakatifu yanayoendana na revealed truths (according to the Bible) au yasiyopingana na biblical message. Hayo ya miungu wengine sina na wala sijawahi kuyaona na wala sina literature inayoonyesha hao miungu walivyoumba ulimwengu na how ni sources of life and existence.
Sayansi haijakamilia. Hivyo, unakubali kwamba unapoongelea sayansi unaongelea pia alternative theories to Darwinism such as Lamarckism, orthogenesis, saltationism, catastrophism and creationism?sayansi haisemi kua imekamilika, na ndio maana inakosolewa.
So chochote ambacho sayansi imejaribu kukielezea na kukaonekana kuna mapungufu bado sio hoja, haikupi uhalali wa wewe kusema jambo hilo hilo kwasababu sayansi imeshindwa kujibu basi kwa namna nyingine ambayo sio ya kiuchunguzi wala uthibitisho jambo hilo ni kweli
Umeongelea maandiko matakatifu ila nimekuuliza swali hujanijibu
Kua maandiko yanayo daiwa kuwa ni matakatifu yako mengi kila dini inayo na kila moja wapo lina tofautiana na maandiko mengine
Islam wana QURA'N na hadiths na vyote hivyo ni maandiko matakatifu
Ukristo una BIBLIA, agano jipya, kale na yenye versions zaidi ya 5
judaism wana TANAKH ambayo ime contain vitabu vingine 24 (TORAH) vyote hivyo vikidaiwa kua ni maandiko matakatifu ambayo yameandikwa na mungu au watu walioongozwa na mungu
Swali langu ni je ni maandiko gani takatifu ambayo ni takatifu zaidi kuliko mengine?
Na kwanini hayo mengine yaitwe matakatifu wakati sio matakatifu?
Kama jibu litasema aina fulani ya maandiko matakatifu sio matakatifu, basi tutagundua kua maandiko kuitwa matakatifu sio kigezo cha kuthibitisha kua maandiko hayo ni matakatifu na yamesema ukweli
Hivyo basi tutarejea hapo kwenye hilo jibu lako ambalo umedai aina fulani ya maandiko ndio ya kweli na ni matakatifu, ututhibitishie kwasababu tushajua kua inawezekana hata hayo maandiko uliyoyachagua yakawa ni potofu kama hayo mengine uliyoyakataa
Kwa hiyo hapo tutakua tume bypass hoja ya kusema mungu yupo kwasababu maandiko matakatifu yamesema yupo, kwasababu tumejua kua maandiko matakatifu hayawezi kua ya kweli kama ambavyo umekataa maandiko kutoka dini zingine
Wewe ni lini ulithibitisha (kwa vipimo vipi ulivyotumia na ulivitoa wapi) kwamba umri wa dunia ni miaka bilioni 4.543 na the sun's core fuses about 600 million tonnes of hydrogen into helium every second, converting 4 million tonnes of matter into energy every second?vyanzo ambavyo umevithibitisha vipi?
Mimi ni miongoni mkuu.Asilimia90 ya atheists ni wakatoliki
chochote ambacho sayansi imejaribu kukielezea na kukaonekana kuna mapungufu bado sio hoja, haikupi uhalali wa wewe kusema jambo hilo hilo kwasababu sayansi imeshindwa kujibu basi kwa namna nyingine ambayo sio ya kiuchunguzi wala uthibitisho jambo hilo ni kweliSayansi haijakamilia. Hivyo, unakubali kwamba unapoongelea sayansi unaongelea pia alternative theories to Darwinism such as Lamarckism, orthogenesis, saltationism, catastrophism and creationism?
irrelevant: hakuna sehemu nimedai dunia ina umri huo (kama ipo nioneshe)Wewe ni lini ulithibitisha (kwa vipimo vipi ulivyotumia na ulivitoa wapi) kwamba umri wa dunia ni miaka bilioni 4.543 na the sun's core fuses about 600 million tonnes of hydrogen into helium every second, converting 4 million tonnes of matter into energy every second?
Nakuuliza hivyo kwa sababu kama wewe ni mwanasayansi au unaikubali sayansi basi utakuwa pia unakubaliana ni hizo 'established findings' kuhusu umri wa dunia au composition ya jua. Au kama hukubaliani nazo, basi sema ili nijue kuwa kumbe hata katika sayansi unayoikubali kuna findings ambazo bado hujajiridhisha nazo. Nakuuliza hivyo kwa sababu ni aina pia ya maswali unayoniuliza na ninataka nione wewe umeshafikia wapi katika kutafiti everything that constitutes science. Kama unasema ni irrelevant, basi hata wewe unaniuliza irrelevant questions. Basi kama ni hivyo, wote tunaulizana irrelevant questions.irrelevant: hakuna sehemu nimedai dunia ina umri huo (kama ipo nioneshe)
Red herring (igorantio elench): Umeamua kujaribu kubadilisha mjadala kwa ku divert hoja yangu from the real question at issue to some side point.
Ni sawa na dosari iliyokea TRA ikionesha kuna utakatishaji fedha, baada ya ukaguzi wa CAG ikagundulika senetor ndio kataifisha hizo pesa.
Sheria inasema manager wa TRA anapaswa kushikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha. We unakuja kusema hata hivyo kuna ma manager wengi sana kwenye utawala wa mkapa waliofanya ufisadi kuliko huyu manager.
so?
Mafisadi wengine wanaweza wakawepo, but that it is another issue! The questions at hand are
1. Ni kweli manager alitakatisha fedha
2. Sheria inasemaje kwa kosa hilo
Sijajibu ulichoniuliza au hujaelewa nilivyokujibu? Awali nilisema huwezi kutumia evidence ya sayansi kuongelea mambo ya Mungu kwa sababu ni kuongelea disciplines 2 tofauti zenye methodolojia tofauti. Mungu hawezi kuwa investigated scientifically na hivyo mambo yote yanayohusu Mungu huwezi kuya'establish' kwa kutumia methodolojia ya sayansi ambayo ndiyo wewe unayotaka nitumie. Haiwezekani.chochote ambacho sayansi imejaribu kukielezea na kukaonekana kuna mapungufu bado sio hoja, haikupi uhalali wa wewe kusema jambo hilo hilo kwasababu sayansi imeshindwa kujibu basi kwa namna nyingine ambayo sio ya kiuchunguzi wala uthibitisho jambo hilo ni kweli
hujajibu swali hili
Umeongelea maandiko matakatifu ila nimekuuliza swali hujanijibu
Kua maandiko yanayo daiwa kuwa ni matakatifu yako mengi kila dini inayo na kila moja wapo lina tofautiana na maandiko mengine
Islam wana QURA'N na hadiths na vyote hivyo ni maandiko matakatifu
Ukristo una BIBLIA, agano jipya, kale na yenye versions zaidi ya 5
judaism wana TANAKH ambayo ime contain vitabu vingine 24 (TORAH) vyote hivyo vikidaiwa kua ni maandiko matakatifu ambayo yameandikwa na mungu au watu walioongozwa na mungu
Swali langu ni je ni maandiko gani takatifu ambayo ni takatifu zaidi kuliko mengine?
Na kwanini hayo mengine yaitwe matakatifu wakati sio matakatifu?
Kama jibu litasema aina fulani ya maandiko matakatifu sio matakatifu, basi tutagundua kua maandiko kuitwa matakatifu sio kigezo cha kuthibitisha kua maandiko hayo ni matakatifu na yamesema ukweli
Hivyo basi tutarejea hapo kwenye hilo jibu lako ambalo umedai aina fulani ya maandiko ndio ya kweli na ni matakatifu, ututhibitishie kwasababu tushajua kua inawezekana hata hayo maandiko uliyoyachagua yakawa ni potofu kama hayo mengine uliyoyakataa
Kwa hiyo hapo tutakua tume bypass hoja ya kusema mungu yupo kwasababu maandiko matakatifu yamesema yupo, kwasababu tumejua kua maandiko matakatifu hayawezi kua ya kweli kama ambavyo umekataa maandiko kutoka dini zingine
Maswali yako unayoniuliza yako nje na mada (uminihusisha kua nimedai najua umri wa dunia) kimjadala hili ni kosaNakuuliza hivyo kwa sababu kama wewe ni mwanasayansi au unaikubali sayansi basi utakuwa pia unakubaliana ni hizo 'established findings' kuhusu umri wa dunia au composition ya jua. Au kama hukubaliani nazo, basi sema ili nijue kuwa kumbe hata katika sayansi unayoikubali kuna findings ambazo bado hujajiridhisha nazo. Nakuuliza hivyo kwa sababu ni aina pia ya maswali unayoniuliza na ninataka nione wewe umeshafikia wapi katika kutafiti everything that constitutes science. Kama unasema ni irrelevant, basi hata wewe unaniuliza irrelevant questions. Basi kama ni hivyo, wote tunaulizana irrelevant questions.
Sijui kwanini unajificha kwenye uvungu wa sayansi kitu ambacho mimi sijakutaka ukifanye?Sijajibu ulichoniuliza au hujaelewa nilivyokujibu? Awali nilisema huwezi kutumia evidence ya sayansi kuongelea mambo ya Mungu kwa sababu ni kuongelea disciplines 2 tofauti zenye methodolojia tofauti. Mungu hawezi kuwa investigated scientifically na hivyo mambo yote yanayohusu Mungu huwezi kuya'establish' kwa kutumia methodolojia ya sayansi ambayo ndiyo wewe unayotaka nitumie. Haiwezekani.
Kingine ambacho hujajibuSijajibu ulichoniuliza au hujaelewa nilivyokujibu? Awali nilisema huwezi kutumia evidence ya sayansi kuongelea mambo ya Mungu kwa sababu ni kuongelea disciplines 2 tofauti zenye methodolojia tofauti. Mungu hawezi kuwa investigated scientifically na hivyo mambo yote yanayohusu Mungu huwezi kuya'establish' kwa kutumia methodolojia ya sayansi ambayo ndiyo wewe unayotaka nitumie. Haiwezekani.
Siyo lazima nithibitishe kila chanzo. Chanzo kinachoamininika sina sababu ya kukithibitisha tena maana hakiwezi kunidanganya. Mfano, naamini kwamba mafundisho ya Yesu kuhusu Mungu, uzima wa milele (salvation), upendo, uaminifu, kusameheana, kuwasaidia wenye shida nk ni ya kweli na sina mashaka yoyote. Na Yesu ni mmoja wa vyanzo vyangu ninavyoviamini hata bila kuthibitisha kauli zao kwa kuzifanyia utafiti upya. Vyanzo vingine ni mababu na manabii, mitume, watu wema na wanasayansi ambao wamefanya kazi yao kwa uaminifu na matunda ya kazi zao tunayafaidi wote hadi leo. Hawa wote nakubaliana na findings au maandiko yao waliyotuachia ya ama mafundisho (kama hao mababu na manabii) au scientific findings (kwa upande wa hao wanasayansi) au ushauri wa aina mbalimbali (watu wote wema wanaotoa ushauri unaweza kuwasaidia wengine). Kwa hawa wote sina sababu ya ku'doubt' kauli zao.Maswali yako unayoniuliza yako nje na mada (uminihusisha kua nimedai najua umri wa dunia) kimjadala hili ni kosa
Pili jibu lolote nitakalokupa halikupeleki kujua jibu la swali ambalo mimi nimekuuliza.
Kwanini unaizungumzia sayansi kwa kui refer negatively wakati hilo tulilimaliza tangu nilopesema kua sayansi haijatimia, haijui kila kitu na ndio maana inakosolewa?
Kusisitiza kwako kwa ku-point madhaifu ya sayansi kunafanya nione unatumia kama mwanya kuhalalisha habari zisizo thibitishika kua zikubalike tu bila ushahidi, kwasababu sayansi ilishindwa kuthibitisha jambo fulani
Turejee kwenye hoja yako: Maneno ya biblia ni kweli kwa sababu yametoka kwa vyanzo vinavyoaminika.
Swali: vyanzo ambavyo umevithibitisha vipi?
umethibitisha mungu yupo?Bado naona unakimbia kujibu swali, kama neno aliyeumba limekukwaza naliondoka naweka neno formation. Haya nipe formation ya hivyo nilivyokuuliza.
NB: Wajulishe pia na Atheist mwenzio Scars naona amepotelea hewani. Mtoe majibu hayo. Mnipe formation ya swali kwenye post #584
Maandiko yote ya kweli (ambayo ninayomaanisha) ni yale yana ujumbe unaounganisha jamii mbalimbali za watu, unaowafanya watu wawe wema zaidi, wawe karibu zaidi, wazidi kupendana, kusameheana, kusaidiana katika taabu na raha - kuwa ndugu/rafiki wa kweli - hata kama hawakuzaliwa pamoja au hawatoki sehemu/nchi/bara moja.Kingine ambacho hujajibu
Umeongelea maandiko matakatifu ila nimekuuliza swali hujanijibu
Kua maandiko yanayo daiwa kuwa ni matakatifu yako mengi kila dini inayo na kila moja wapo lina tofautiana na maandiko mengine
Islam wana QURA'N na hadiths na vyote hivyo ni maandiko matakatifu
Ukristo una BIBLIA, agano jipya, kale na yenye versions zaidi ya 5. Halikadhalika nayo ni maandiko matakatifu
judaism wana TANAKH ambayo ime contain vitabu vingine 24 (TORAH) vyote hivyo vikidaiwa kua ni maandiko matakatifu ambayo yameandikwa na mungu au watu walioongozwa na mungu
Swali langu ni je ni maandiko gani takatifu ambayo ni takatifu zaidi kuliko mengine?
Kama jibu litasema aina fulani ya maandiko matakatifu sio matakatifu, basi tutagundua kua maandiko kuitwa matakatifu sio kigezo cha kuthibitisha kua maandiko hayo ni matakatifu na yamesema ukweli
Kama moja kati yao ni maandiko matakatifu, kwanini hayo mengine yaitwe matakatifu wakati sio matakatifu?
Hivyo basi tutarejea hapo kwenye hilo jibu lako ambalo umedai aina fulani ya maandiko ndio ya kweli na ni matakatifu, ututhibitishie kwasababu tushajua kua kama yaliyoitwa maandiko matakatifu tumeweza kujua ni uwongo basi inawezekana hata hayo maandiko uliyoyachagua wewe yakawa ni potofu kama hayo mengine uliyoyakataa
Kwa hiyo hapo tutakua tume bypass hoja ya kusema mungu yupo kwasababu maandiko matakatifu yamesema yupo, kwasababu tumejua kua maandiko matakatifu hayawezi kua ya kweli kama ambavyo umekataa maandiko kutoka dini zingine
Nimebaini yafuatayo kwenye hoja yakoSiyo lazima nithibitishe kila chanzo. Chanzo kinachoamininika sina sababu ya kukithibitisha tena maana hakiwezi kunidanganya.
Sijui kwanini unajificha kwenye uvungu wa sayansi kitu ambacho mimi sijakutaka ukifanye?
Wapi nimedai unipe uthibitisho wa sayansi?
Mimi nataka uthibitisho wenye kuonesha ukweli usio acha shaka kutokana source ya habari kunadiwa kua imetoka kwa being mwenye amekamilika. Uthibitisho wowote ambao utakua na miscarriage itakya rahisi kwangu kuugundua na kubaini kua ni wauongo.
Ndiyo nakubali naweza kukubali wakati mwingine bila kujua hata uwongo na siyo mimi tu hata wewe kwa sababu by our very nature tunaweza kukosea au watu wengine kutukosesha. Lakini kwa upande wangu Mungu ananiongoza kwa mambo mengi na ingawa kuna mambo nimeshawahi kudanganywa na nitaendelea kudanganywa, lakini pia kuna mambo mengi sana ambayo nafanikiwa kuepuka kudanganywa na nitaendelea kufanya vizuri kama nitaendelea kumwamini Mungu.Nimebaini yafuatayo kwenye hoja yako
Kwamba unajiweka katika angle ya kukubali hata uwongo kwasababu kwako uthibitisho sio kipaumbele
Kwa mantiki hiyo hata kusema kwako kua hajadanganywa nako kutakua ni uwongo.