Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Inanilaumu kulazimisha wengine kilicho sahihi, wakati huo huo unanilazimisha kwamba ninachofanya mimi si sahihi.Then, you've made this guy your god. Aren't you?
Nikisoma between the lines nadhani una tatizo fulani ambalo hujafanikiwa kulitatua wewe mwenyewe au na mtu mwingine na ndilo linalokufanya u'behave' namna hii. Una aina fulani ya arrogance ambayo sijui unataka kupata nini - kushinda mjadala at all costs? Kama ni hivyo, inatosha tu kutumia lugha inayoshawishi (persuasive) na siyo kulazimisha hoja na kila mara uonyeshe kuwa wengine tu ndiyo wasioelewa maneno unayotumia, wana hoja ambazo ni "obscurantist bullshit" and the like. Mara nyingi najizuia sana kutumia aina ileile ya lugha ya kuudhi kwa sababu si tabia yangu kufanya hivyo, lakini kusema kweli unakera sana! Una 'tendency' ya kulazimisha kwa wengine unachoona ni sahihi. Kama kwenye mtandao tu uko hivi, itakuwaje kwa wale unaoishi nao, unaofanya nao kazi au unaokutana nao? I'm sure, it's hell!
Kwanza kabisa unaji contradict.
Pili, hujaelewa hata nilipoanzia, achilia mbali nilipomalizia.
Mimi sikulazimishi uone alichosema Einstein ni sahihi.
Ndiyo maana nikakuambia ukiwa unabishia hayo mambo, andika paper, chapisha kwenye journal labkueleweka la Physics.
Nakupa guarantee ukiweza kum prove Einstein kakosea kwenye fundamentals za Relativity kuhusu time, utapata nishanibya Nobel ya Physics.
Sasa hapo nimekulazimisha vipi uone ninachoandika mimi ni sahihi wakati kuna njia nzuri tu ya kupinga itakayokupa tuzo kubwa tu duniani?
Hebu nieleze nimekulazimishaje hapo?
Ukiketa obscurantists bullshit ya "what if..", nitaiita tu obsurantists bullshit.
Kwa sababu naweza kukuuliza "What if you are a tadpole who is incapable of understanding jack shit, and your thoughts do not really matter?"