Qur-an imeandikwa na Muhammad, akidai kua ameshushiwa kutoka kwa Mungu!. hakuna uthibitisho kua kweli alipokea kwani kwa mujibu wa hadith za uislamu ni kua alikua akipokea usiku na kuwaambia asubuhi!.
hapo nimekujibu swali lako la kwanza, swali langu ni kua "Thibitisha Mungu yupo".
unasema kua kurani ina scientific facts kua zimevumbuliwa katika ulimwengu wa leo!.. mimi nasema kua Quran ilikusanya nadharia na kuziunganisha katika hicho kitambi ndo maana zina contradict! aghalabu, Quran inazungumzia chanzo cha mwanadamu kua ni manii, pia ikasema kua ni damu, pia ikasema kua ni vumbi, na ikasema kua ametokana na kisicho chochote(nothing)!, sasa hapo ni dhahiri utabaki kujiuliza katokana na nn!? vumbi, damu, manii, nothing!? hapa najenga hoja kua Quran ilikua inaotea(guess) haina uhakika ndo maana ina contradict!.
mi si muandishi mzuri na pia sio atheist,.
Sent using
Jamii Forums mobile app