Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Formation nimekutajia kua ni ulimwengu, sasa we unataka jibu gani tofauti na hilo?Mkuu nimekuuliza unipe formation ya hivyo vitu vyote ambavyo vipo katika ulimwengu tunaoishi.
Unaniambia hivyo vitu vimeasisiwa na ulimwengu, huniambii ulimwengu umeasisi vipi na kuform hivyo vitu? Hivyo vitu vyote nilivyokuuliza ni Matter. Unipe facts how they formed scientifically.
Kwanini unipe facts scientifically kwasababu wewe hauamini katika miujiza, yaan ukisema ulimwengu umeasisi ni sawa na kusema hivyo vitu vimetokea tu kimiujiza without proof
Uniambie Ulimwengu umewezaje ku-form/kuunda vitu vyote hivi vifuatavyo:-
1. Sayari zote
2. Jua, mwezi na nyota zote
3. Bahari, mito na maziwa yote katika sayari dunia.
4. Gesi, mafuta na madini ardhini katika sayari dunia.
5. Samaki wa aina zote katika bahari, mito na maziwa.
6. Ndege wa aina zote
7. Wanyama wa aina zote
8. Binadamu
9. Miti, mimea na mbogamboga za aina zote
1. Sayari zimetokana na nebula
2. Swala la bahari limetokana na wingu kubwa lenye dust na miamba
3. Ina maana haujui gesi na mafuta husababishwa na mabaki ya mimea na wanyama waliokufa miaka mingi?. Sikutegemea utauliza swali la namna hii
4. Samaki wametokana na maji, maji nimeelezea hapo juu
5. Ndege wame evolve kutoka kwa theropods
6. Wanyama wame evolved kutoka tiktaalik, kasome evolution
7. Binadamu, hili swali ni uzembe kuuliza
8. Miti na mimea imekuja baada ya mechanism ya maji kufanyika na tayari nimeelezea hapo juu