Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sababu gani zinazokuja bila uthibitisho?Kwenye kukubali kuamini jambo huwa hatutumii uthibitisho bali hutumia sababu na dalili za kuamini hivyo, kama ukiwa na uthibitisho wa hilo jambo sidhani tena kama utasema unaamini hilo jambo.
Je, tupo pamoja hapo?
Nitakua sahihi kwamba umekubali kwa assumption ambazo huna uhakika?
Unaelewa kwamba kama hujapitia uthibitisho huwezi kuweka madai kua jambo fulani ni lazima liwe sahihi na kinyume chake haiwezekani?