Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi
Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?
Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
sawa kabisa kama mungu alijua tutamkosea kwa nini aliyuumba ili tuje kumkosea kisha aje kutuazibu huu ni uonevu mkubwaKwahiyo alipotuumba alijua kuwa tutamkosea au sio? Maana anajua mwanzo na mwisho. Lakini bado akatuumba ili tumkosee?
Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi
Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?
Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
Kwa sababu haina logical consistency.Utafahamu vipi kwamba sababu niliyotoa si ya kueleweka?
Wewe ndio hunielewi,Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.
Sasa anakuona ukifanya maamuzi yako mpaka ile siku ya kifo. Hivyo anajua mwisho wako kwa kadiri ya uchaguzi wako.
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo na hizo habari zote za Mungu hivi, Mungu vile, si hadithi tupu tu.Mungu hakukuumba ili umkosee soma mwanzo uelewe lengo la wewe kuwa duniani..Pia Biblia inasema Mungu hawezi jaribu mtu kwa uovu na yeye hajaribiwi na kitu chochote
Mkuu mbona unarudia maswali yale yale unayojibiwa naona unafanya kubadilisha maneno tu...Nimekuuliza wewe muamini.
Mungu anajua mwanzo na mwisho wa kila kitu. Ikiwa ina maana hata alipomuumba Eva alijua atandanganywa na nyoka ambaye kamuumba yeye pia, halafu Eva atadanganyika amshawishi Adam ambaye naye kamuumba yeye, halafu watende dhambi. Alijua hili au hakujua?
Mungu anao uhuru wa kuchagua afanye nini juu ya kile anachomiliki ikiwa ni pamoja na wanadamu.sawa kabisa kama mungu alijua tutamkosea kwa nini aliyuumba ili tuje kumkosea kisha aje kutuazibu huu ni uonevu mkubwa
ua kama alijua tutamkosea kwa nini hakurekebisha au kuondoa ujio wa makosa?
Tangu lini ibilisi akawa CHARITABLE?Kwa nini mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa charitable?.
kwa nini mungu hakuzuia kabla ya tendo kutendela si alijua lwamba watakwenda kuasiYote haya Mungu aliyaona huyo Eva, nyoka na Adamu walivyoamua. Aliliona tukio hili kabla na aliliona lilipofanyika na alilitafutia suluhisho.
Yote haya yalikuwa maamuzi ya hao viumbe. Alichotaka Mungu walikijua na wakaamua kuasi.
Nithibitishe ili iweje? so what? What purpose does it serve?Wewe unayesema Mungu yupo, thibitisha dai hilo.
Mungu ni roho hauwezi kuona nguvu na utukufu wake usipokuwa na imani.Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo na hizo habari zote za Mungu hivi, Mungu vile, si hadithi tupu tu.
Kwasababu majibu mnayotoa hayajibu ninachouliza yani mnajicontradict ndio maana majibu yenu nayatoa kasoro kwa kuwauliza tena swali lile lile.Mkuu mbona unarudia maswali yale yale unayojibiwa naona unafanya kubadilisha maneno tu...
Mungu alituumba kwa mfano wake na akatupa uhuru, unaposema angezuia mabaya maana yake hata wewe leo usingethubutu kuandika hayo unayooandika, Mungu amempa shetani uhuru wa kuthibitisha madai yake na hata wewe umepewa uhuru wa kuchagua mema au mabaya.
Ndiyo Mungu anajua kila kitu hata idadi ya nywele ulizonazo kwenye vichwa vyenu, msiogope nyie ni wathamani kuliko ndege wengi.
Luka 12:7
Anapatikana pande zipi hapa maskani yetu?Ni mungu wa dunia hii
Anapatikana pande zipi hapa maskani yetu?Ni mungu wa dunia hii
Anapatikana pande zipi hapa maskani yetu?Ni mungu wa dunia hii
Mungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.Wewe ndio hunielewi,
Hivyo basi kwa hayo anayoyaona hata kabla hujazaliwa throughout maisha yako yote bila shaka anajua mwisho wako hata kabla hajakuumba. Sasa anategemeaje ubadilike wakati mwanzo na mwisho wako na kila utakachofanya ashakiona?
Yani ni sawa utazame movie kuanzia mwanzo hadi mwisho steering anakufa. Halafu uirudishe mwanzo uanze upya ukitegemea kuna kitakachobadilika wakati mwisho wake unaujua na una uhakika nao.