Liutenant
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 590
- 899
- Thread starter
- #201
Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi
Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?
Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
Sasa anakuona ukifanya maamuzi yako mpaka ile siku ya kifo. Hivyo anajua mwisho wako kwa kadiri ya uchaguzi wako.