Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi

Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?

Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.

Sasa anakuona ukifanya maamuzi yako mpaka ile siku ya kifo. Hivyo anajua mwisho wako kwa kadiri ya uchaguzi wako.
 
Kwahiyo alipotuumba alijua kuwa tutamkosea au sio? Maana anajua mwanzo na mwisho. Lakini bado akatuumba ili tumkosee?
sawa kabisa kama mungu alijua tutamkosea kwa nini aliyuumba ili tuje kumkosea kisha aje kutuazibu huu ni uonevu mkubwa

ua kama alijua tutamkosea kwa nini hakurekebisha au kuondoa ujio wa makosa?
 
Hujanijibu swali narudia tena nimeuliza hivi

Kwa maana hiyo hategemei wewe kubadilika ukaenda tofauti na mwisho wako anaoujua?

Nikichagua tofauti na mwisho anaoujua basi bila shaka hakujua mwisho wangu, ina maana sifa hiyo anakuwa kaipoteza
Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.

Sasa anakuona ukifanya maamuzi yako mpaka ile siku ya kifo. Hivyo anajua mwisho wako kwa kadiri ya uchaguzi wako.
 
Sijui kwanini haunielewi. Mungu anakuona tangu ulipozaliwa hadi utakapokufa. Alikuona hata kabla ya wazazi wako kuzaliwa.

Sasa anakuona ukifanya maamuzi yako mpaka ile siku ya kifo. Hivyo anajua mwisho wako kwa kadiri ya uchaguzi wako.
Wewe ndio hunielewi,
Hivyo basi kwa hayo anayoyaona hata kabla hujazaliwa throughout maisha yako yote bila shaka anajua mwisho wako hata kabla hajakuumba. Sasa anategemeaje ubadilike wakati mwanzo na mwisho wako na kila utakachofanya ashakiona?
Yani ni sawa utazame movie kuanzia mwanzo hadi mwisho steering anakufa. Halafu uirudishe mwanzo uanze upya ukitegemea kuna kitakachobadilika wakati mwisho wake unaujua na una uhakika nao.
 
Mungu hakukuumba ili umkosee soma mwanzo uelewe lengo la wewe kuwa duniani..Pia Biblia inasema Mungu hawezi jaribu mtu kwa uovu na yeye hajaribiwi na kitu chochote
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo na hizo habari zote za Mungu hivi, Mungu vile, si hadithi tupu tu.
 
Nimekuuliza wewe muamini.
Mungu anajua mwanzo na mwisho wa kila kitu. Ikiwa ina maana hata alipomuumba Eva alijua atandanganywa na nyoka ambaye kamuumba yeye pia, halafu Eva atadanganyika amshawishi Adam ambaye naye kamuumba yeye, halafu watende dhambi. Alijua hili au hakujua?
Mkuu mbona unarudia maswali yale yale unayojibiwa naona unafanya kubadilisha maneno tu...
Mungu alituumba kwa mfano wake na akatupa uhuru, unaposema angezuia mabaya maana yake hata wewe leo usingethubutu kuandika hayo unayooandika, Mungu amempa shetani uhuru wa kuthibitisha madai yake na hata wewe umepewa uhuru wa kuchagua mema au mabaya.
Ndiyo Mungu anajua kila kitu hata idadi ya nywele ulizonazo kwenye vichwa vyenu, msiogope nyie ni wathamani kuliko ndege wengi.
Luka 12:7
 
sawa kabisa kama mungu alijua tutamkosea kwa nini aliyuumba ili tuje kumkosea kisha aje kutuazibu huu ni uonevu mkubwa

ua kama alijua tutamkosea kwa nini hakurekebisha au kuondoa ujio wa makosa?
Mungu anao uhuru wa kuchagua afanye nini juu ya kile anachomiliki ikiwa ni pamoja na wanadamu.

Mungu hakuadhibu bali anakupa sawasawa na jinsi ulivyochagua. Ameelekeza mamna ya kufanya ili usikutane na matokeo usiyoyapenda.

Amesharekebisha ni wewe tu kuchagua. Atauondoa uovu na makosa yote katika ulimwengu ujao.
 
Yote haya Mungu aliyaona huyo Eva, nyoka na Adamu walivyoamua. Aliliona tukio hili kabla na aliliona lilipofanyika na alilitafutia suluhisho.

Yote haya yalikuwa maamuzi ya hao viumbe. Alichotaka Mungu walikijua na wakaamua kuasi.
kwa nini mungu hakuzuia kabla ya tendo kutendela si alijua lwamba watakwenda kuasi
 
Mkuu mbona unarudia maswali yale yale unayojibiwa naona unafanya kubadilisha maneno tu...
Mungu alituumba kwa mfano wake na akatupa uhuru, unaposema angezuia mabaya maana yake hata wewe leo usingethubutu kuandika hayo unayooandika, Mungu amempa shetani uhuru wa kuthibitisha madai yake na hata wewe umepewa uhuru wa kuchagua mema au mabaya.
Ndiyo Mungu anajua kila kitu hata idadi ya nywele ulizonazo kwenye vichwa vyenu, msiogope nyie ni wathamani kuliko ndege wengi.
Luka 12:7
Kwasababu majibu mnayotoa hayajibu ninachouliza yani mnajicontradict ndio maana majibu yenu nayatoa kasoro kwa kuwauliza tena swali lile lile.

Uhuru unaodai kakupa anajua utautumia vipi hata kabla ya kukuumba. Hivyo maana yake amekupa uhuru halafu anajua kabisa huyu kwa huu uhuru nliompa atachagua mabaya atende dhambi na nimuadhibu. Na kwakuwa anajua mwisho wako maana ashauona hata kabla ya kukuumba, basi bila shaka hategemei ubadilike ufanye tofauti.
 
Wewe ndio hunielewi,
Hivyo basi kwa hayo anayoyaona hata kabla hujazaliwa throughout maisha yako yote bila shaka anajua mwisho wako hata kabla hajakuumba. Sasa anategemeaje ubadilike wakati mwanzo na mwisho wako na kila utakachofanya ashakiona?
Yani ni sawa utazame movie kuanzia mwanzo hadi mwisho steering anakufa. Halafu uirudishe mwanzo uanze upya ukitegemea kuna kitakachobadilika wakati mwisho wake unaujua na una uhakika nao.
Mungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.
 
Back
Top Bottom