Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Ilo swali ungemuuliza Kiranga mwenyewe ni nini madhumuni ya kutoa sadaka hiyo

Acha kupaniki
 
Kwanza kabisa mimi si mpagani, mpagani anaamini katika Mungu/ supernatural power.

Mimi siamini.

Let's get that clear.

Pili, sadaka imesemwa kuwa ni charity na benevolence.

Sasa mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa na charity na benevolence?
 
Kwani charity na benevolence ni kiarabu?
Naongela asili ya tamko "Sadaka", usiniulize swali hilo, halipo katika msingi wa tamko, bali limekuja kuelezea kwa lugha ya kiingereza. Elewa nilichokiandika.

Waulize wenye tamko lao "Sadaka" wanalofasili vipi.
 
Pili, sadaka imesemwa kuwa ni charity na benevolence
Imesemwa na nani ? Unatakiwa uwe unarejea za kielimu, siyo unasema imesemwa, unamjua aliyeweka hiyo maana huko "Wikipedia" ?
Kwanza kabisa mimi si mpagani, mpagani anaamini katika Mungu/ supernatural power.

Mimi siamini.
Nani amesema wewe ni mpagani ? Mimi nilikuwa namjibu aliye jenga hoja dhidi yangu.
Sasa mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa na charity na benevolence?
Anafanya jema ila hana sadaka sababu sadaka ina mafungamo na jambo fulani na kutarajia malipo kwa yule aliyeelekezewa kwalo.
 
Unafahamu vipi kwamba hilo ulilofanya ni jema ikiwa kila kitu kilitokea tu kwa bahati baada ya utupu kupasuka?
 
Kwa hivyo mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa benevolent, hawezi kuwa charitable?
Nilishakuwa boss enzi hizo Polish, alikuwa Hana msaaafu wala biblia wala Buddha statues, alikuwa anasema hakuna Mungu, na haamini, things happen because that's how it is, they have to happen!

Ila alikuwa mtu mwema Sana, kila mtu alimpenda na anamkumbuka Kwa mema, sijui mzima au alishakufa. Alisaidia bila kujali, hakusengenya, ukikosea anakuwasha kisha mnasonga na maisha, ulifanya vyema anakusifia na kuku reward! Alisaidia alipoweza always! Na hakuwa na dini!

Kama kweli kuna kwendaa mbinguni, huyu asiipofika sidhani Ka wengine tutaenda!
 
Unatajaje kitu ambacho huna uhakika nacho kama kipo au hakipo, huo si upungufu wa akili [emoji848][emoji19]
 
Mkuu naomba kwanza ueleze sadaka ni nini na madhabahu alafu uoneshe huo muunganiko wake unakuaje.
Sadaka ni matoleo yanayofanywa kukiwa na matarajio ya kupata majibu fulani kutoka katika ulimwengu wa roho.

Ni lazima pawepo na madhabahu inayopokea hiyo sadaka ikiwa inaunganisha mungu anayemiliki hiyo madhabahu na huyo mtoaji.

Mawasiliano kati ya ulimwengu huu yabisi na ulimwengu wa roho unafanywa kupitia madhabahu. Ni lazima sadaka iwekwe kwenye madhabahu ili kupata majibu ya yale matarajio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…