Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

kwanza Moderator ban topics za kum discredit member mwingine, amini unachoamini kama ni miti,tembo,sisimizi ila usitake kulazimisha wengine wafanane na wewe,lets learn from our differences and tolerate each other
Tangu mwanzo niliwaambia wamwache aamini anachokiamini wakaniambia wanataka wamweke kwenye line, sasa wamekipata walichokuwa wanakitafuta.
 
kwanza Moderator ban topics za kum discredit member mwingine, amini unachoamini kama ni miti,tembo,sisimizi ila usitake kulazimisha wengine wafanane na wewe,lets learn from our differences and tolerate each other
Unataka toleration kwenye matusi? Hakuna mahali mtu amelazimishwa kufuata maisha ya mwingine. Huu ni mjadala huru. Mwisho wa siku kila mmoja anafanya alichochagua.
 
Kiranga sio wa. Kushindana nae humu maana hajawahi kukubali kushindwa.
Mkuu hapa sidhani kama tunashindana. Tunapeana ufahamu ili kuboresha maamuzi tunayofanya kwenye maisha. Hatupaswi kuchoka ku share tunachokiamini ili kama kitakuwa na manufaa kwa wengine basi kitumike hivyo.
 
Ninachokipinga ni kipi? Na kwa nini sikijui? Na unawezaje kuthibitisha hilo?

Mimi nina belief gani? N aunajuaje hiyo ni belief? Inconsistency iko wapi?

Wewe unaposema kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya, huoni inconsistency hapo? Huoni contradiction?
Unapinga uwepo wa Mungu kwasababu haujawahi kumuona lakini hapohapo unaamini uwepo wa majini, akili, hisia nk ingawa hujawahi kuziona.

Si kila kitu halisi lazima kiwe yabisi.
 
I do not have a problem being thought a fool.

That is rather presumptuous of you.

Socrates was fond of being thought of as a fool.

I have insisted on my being a fool, consistently.

Shakespeare had Shakesperean fools.

You have a poverty of mind that is rather easily shaped.
 
Unapinga uwepo wa Mungu kwasababu haujawahi kumuona lakini hapohapo unaamini uwepo wa majini, akili, hisia nk ingawa hujawahi kuziona.

Si kila kitu halisi lazima kiwe yabisi.
Wapi nimepinga uwepo wa Mungu kwa sababu sijawahi kumuona? Unaweza kuweka nukuu hiyo hapa?

Hivi, wewe hata hoja zangu unazielewa? Unaelewa kwama hoja zangu ya msingi ni "logical consistency" na "contradiction", vitu vya kimantiki na kidhahania, ambavyo si vya kuonwa?

Unajua kusoma kwa ufahamu kweli wewe?

Ninayoandika unayaelewa au najaribu kumfunza guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo habari za Euler-Riemann Zeta Function?
 
I do not have a problem being thought a fool.

That is rather presumptuous of you.

Socrates was fond of being thought of as a fool.

I have insisted on my being a fool, consistently.

Shakespeare had Shakesperean fools.

You have a poverty of mind that is rather easily shaped.
I'm happy that Lincoln had a thought on people of your kind.

Being consistently foolish is a talent. Congratulations.
 
Wapi nimepinga uwepo wa Mungu kwa sababu sijawahi kumuona? Unaweza kuweka nukuu hiyo hapa?

Hivi, wewe hata hoja zangu unazielewa?

Unajua kusoma kwa ufahamu kweli wewe?
Unarukaruka hapa na umepoteza mwelekeo.

Nashukuru kwa kushiriki mjadala tangu juzi.

Nakuombea kwa Mungu akufungulie macho ya rohoni upate kumjua yeye.

Amani ya Bwana iwe nawe.
 
I'm happy that Lincoln had a thought on people of your kind.

Being consistently foolish is a talent. Congratulations.
People of what kind?

Please restrain your low level censorship.

I do not care what you think, much less what Lincoln has to say about the modern world.

He has been dead for over 157 years.

Please find a more recent and relevant source of information.
 
Unarukaruka hapa na umepoteza mwelekeo.

Nashukuru kwa kushiriki mjadala tangu juzi.

Nakuombea kwa Mungu akufungulie macho ya rohoni upate kumjua yeye.

Amani ya Bwana iwe nawe.
Kabla ya kuniombea kwa Mungu, thibitisha kwamba yupo.

Ili usije kuniombea kwa Mungu ambaye hayupo ukafanya kazi ya bure kuniombea.
 
People of what kind?

Please restrain your low level censorship.

I do not care what you think, much less what Lincoln has to say about the modern world.

He has been dead for over 157 years.

Please find a more recent and relevant source of information.
The bible is the most recent source. It is alive forevermore, and has this to say about you:

Psalm 14:1 (NKJV)
The fool has said in his heart,
There is no God.”
They are corrupt,
They have done abominable works,
There is none who does good
 
Kabla ya kuniombea kwa Mungu, thibitisha kwamba yupo.

Ili usije kuniombea kwa Mungu ambaye hayupo ukafanya kazi ya bure kuniombea.
Mungu yupo, mimi kila siku naongea naye.
 
Mungu yupo, mimi kila siku naongea naye.
Tunajuaje yupo kweli na hizo habari za kuongea naye si matatizo yako ya kwenye ubongo tu?

Hata kichaa anaweza kusema anaongea na Mungu kila siku.

Kuna condition ya mental health inaitwa "delusions of grandeur".

Sasa unajuaje Mungu yupo na anaonge ana wewe kweli, na una huu ugonjwa wa "delusions of grandeur" ?

Hauhitaji kujua.

Kujua ni nini? Utajuaje kama umejua?
Swali zuri.

Katika framework ya kimantiki, tunajua tumejua kama hatuwezi ku contradict dhana na dhana haina logical inconsistency.

Na tunakaribisha ukosoaji.

Wewe unajuaje unajua?

Unajuaje Mungu ypo, na habari za kuwapo kwake si uongo tu?

Na kama Mungu hayupo, na habari z akuwapo kwake ni uongo tu, kitu gani kitafanya uelewe kwamba habari ya kuwapo Mungu ni uongo tu?
 
Metrics zako kupima consistency na ku identify contradictions ziko subjective. Mfano unaposema Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote alishindwaje kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika unakuwa subjective tu. Unafahamu vipi kwamba hakuweza. Je kila kitu unachoweza lazima ukifanye?
 
Unafahamu dhambi ilianzaje duniani?
Suala siyo kuanza ama kutoanza, suala hapa ni kwamba Mungu alishindwa kuumba Ulimwengu ambao dhambi haiwezi kuanza kwa namna yoyote? Mbona wewe hapo ulipo hata ufanyaje huwezi kurudi tumboni kwa Mama yako? Mungu alishindwa kufanya dhambi ishindwe kuanza!?
 
Back
Top Bottom