Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Tangu mwanzo niliwaambia wamwache aamini anachokiamini wakaniambia wanataka wamweke kwenye line, sasa wamekipata walichokuwa wanakitafuta.kwanza Moderator ban topics za kum discredit member mwingine, amini unachoamini kama ni miti,tembo,sisimizi ila usitake kulazimisha wengine wafanane na wewe,lets learn from our differences and tolerate each other