Poa poa kaka mkubwa .....Kuna uwezekano mkubwa sana ukawa huna akili kama akili unazo bas inawezekana wewe ni mjinga
Poa poa ....Asante sana pamoja sana
Niambie mbabafogoh2 Acha wivu.
Si yule Harishi au ulikuwa haujui?Who are u likud?
Bwahahaha,Hii tabia ya kuandika vilugha vigumu utaacha lini?
Ulitusomesha ?
Sisi wazalendo tunajivunia matunda ya skuli zetu hapa bongoland
Kiranga msalimie swahiba wangu Al watan mwambie market makers wananila za uso siku hizi sijui nakosea wapi mie!
Akiwa free anicheki anipe tutorials maana hizi za uso za sasa sio kawaida kabisa.
Kigezo cha Kiranga kuprove kuwa hakuna Mungu!Umetumia vigezo gani kujua Kiranga ana akili sana?
Nina imani maelfu wamepotea hapa!Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.
You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess
Tatizo huwa unakimbia!Embu nipe kwa ufupi hiyo Historia ya Muda ....
Sijasepa! Nimekuuliza kama una akili ama huna mpaka leo hujanijibuNimekuuliza akili ni nini umesepa kama Ikangaa.
Nalendwa in da house![emoji1][emoji1][emoji1]Hahah!, Dogo bhanaa! [emoji16]
AaahhhBwahahaha,
Una deal na market wakati Kikristu unakiogopa ni bora hiyo hela utoe sadaka kwenye jamii yako karibu itakushukuru.
Kaka Al-Watan anajiandaa ku retire visiwa vya Turks and Caicos mwaka huu.
Ananiambia anataka ku trade from a beachouse.
Wiki hii tu kapiga $34,000 kwenye mambo yake ya Dow Jones, he called it right, anasema hataki shobo za shombo na wabongo wengi.
Mtafute PM atakujibu labda kama ana muda.