Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Kati ya hao Mshana ananiacha hoi kwa kusuka hoja zake vizuri , ulimwengu wa roho umemfikisha nyumbani .
 
Hii tabia ya kuandika vilugha vigumu utaacha lini?
Ulitusomesha ?
Sisi wazalendo tunajivunia matunda ya skuli zetu hapa bongoland
Kiranga msalimie swahiba wangu Al watan mwambie market makers wananila za uso siku hizi sijui nakosea wapi mie!
Akiwa free anicheki anipe tutorials maana hizi za uso za sasa sio kawaida kabisa.
Bwahahaha,

Una deal na market wakati Kikristu unakiogopa ni bora hiyo hela utoe sadaka kwenye jamii yako karibu itakushukuru.

Kaka Al-Watan anajiandaa ku retire visiwa vya Turks and Caicos mwaka huu.

Ananiambia anataka ku trade from a beachouse.

Wiki hii tu kapiga $34,000 kwenye mambo yake ya Dow Jones, he called it right, anasema hataki shobo za shombo na wabongo wengi.

Mtafute PM atakujibu labda kama ana muda.
 
Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.

You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess

KardashevScale_v8-1200x6084.jpg
Nina imani maelfu wamepotea hapa!
 
Bwahahaha,

Una deal na market wakati Kikristu unakiogopa ni bora hiyo hela utoe sadaka kwenye jamii yako karibu itakushukuru.

Kaka Al-Watan anajiandaa ku retire visiwa vya Turks and Caicos mwaka huu.

Ananiambia anataka ku trade from a beachouse.

Wiki hii tu kapiga $34,000 kwenye mambo yake ya Dow Jones, he called it right, anasema hataki shobo za shombo na wabongo wengi.

Mtafute PM atakujibu labda kama ana muda.
Aaahhh
Kikristu cha market kile kwakuwa kina madolari hakinishindi ila hiki chako cha literature review mpaka nimtafute ras Simba na Mimi muda sina, muda wa tuisheni bora nijisomee candlesticks patterns Tu .....
 
Back
Top Bottom