Tatizo huwa unakimbia!
Sijawahi kukimbia bro,najua nafsi yako shahidi. Tatizo huwa hamna uwezo wa kusimamisha hoja kwa yale ambayo mna yadai. Kanuni ya mjadala inataka uwe na elimu juu ya kile unachokiegemea.
Sasa kama wewe hujui maana ya Ukweli halafu unataka kuuzungumzia ukweli hii ni kinyume na misingi ya kielimu.
Ukipewa maana ya ukweli unaukataa,ukibiwa leta maana yako unayoijua wewe pia unakataa,sasa wewe unataka kujadiliana au kupotezea watu muda ?
Hali ikiwa hivyo huwa nafung mjadala bro. Kwangu muda ni mali bro.
Nipo ....

1.Mimi siwezi kutoa maana ya term ambazo wewe umeziweka kwenye swali lako,ni wajibu wako wewe kutoa maana ya term hizo kwa sababu inawezekana unachokimaanisha kwenye term hizo ni tofauti na maana niliyo nayo mimi!
2.Neno ukweli lina maana pana sana kama tulivyoona juzi na wewe ni shahidi wa hilo,kuwa kilicho kweli kwako kinaweza kuwa ni uongo kwangu na kilicho uongo kwako kinaweza kuwa ni ukweli kwangu kwa hiyo una wajibu wa kufafanua kweli unayomaanisha kwenye swali lako ni kweli ipi ili mimi niweze kujibu swali lako la msingi kwa ufasahaa.
Kweli ni nini?
Duh kumbe ndo yule harishi wa #kanungila dah mla ubongo basi sawaSi yule Harishi au ulikuwa haujui?
Duh kumbe ndo yule harishi wa #kanungila dah mla ubongo basi sawaSi yule Harishi au ulikuwa haujui?
Duh kumbe ndo yule harishi wa #kanungila dah mla ubongo basi sawaSi yule Harishi au ulikuwa haujui?
Sijawahi kukimbia bro,najua nafsi yako shahidi. Tatizo huwa hamna uwezo wa kusimamisha hoja kwa yale ambayo mna yadai. Kanuni ya mjadala inataka uwe na elimu juu ya kile unachokiegemea.
Sasa kama wewe hujui maana ya Ukweli halafu unataka kuuzungumzia ukweli hii ni kinyume na misingi ya kielimu.
Ukipewa maana ya ukweli unaukataa,ukibiwa leta maana yako unayoijua wewe pia unakataa,sasa wewe unataka kujadiliana au kupotezea watu muda ?
Hali ikiwa hivyo huwa nafung mjadala bro. Kwangu muda ni mali bro.
Nipo ....
Kwa
Yesu au
Muhhamad
The fallacious folly of your obtuse obeisance is in the cavalier characterization and linguistic lampooning that is as incurious as it is not interlinking.Aaahhh
Kikristu cha market kile kwakuwa kina madolari hakinishindi ila hiki chako cha literature review mpaka nimtafute ras Simba na Mimi muda sina, muda wa tuisheni bora nijisomee candlesticks patterns Tu .....
Unajua mda mwingine kiranga huwa ana maswali mazur sana na ndo huwa nayatumia kubishana na watu na mtaan kwetu
Nalendwa in da house![emoji1][emoji1][emoji1]
Tobaaaaaaaaaaaa!!!!!The fallacious folly of your obtuse obeisance is in the cavalier characterization and linguistic lampooning that is as incurious as it is not interlinking.
It is overly obvious you can neither see the forest from the trees nor separate the English from the Dutch.
Mekumishyiikuna wanaume humu jf wana wivu kuliko hata kina chau wa huku Tandale
Ngoja bebi wako Kiranga aone hii...Mekumishyii
AiseeeBwahahaha,
Una deal na market wakati Kikristu unakiogopa ni bora hiyo hela utoe sadaka kwenye jamii yako karibu itakushukuru.
Kaka Al-Watan anajiandaa ku retire visiwa vya Turks and Caicos mwaka huu.
Ananiambia anataka ku trade from a beachouse.
Wiki hii tu kapiga $34,000 kwenye mambo yake ya Dow Jones, he called it right, anasema hataki shobo za shombo na wabongo wengi.
Mtafute PM atakujibu labda kama ana muda.