Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hayo ni mapepo full wanaambukiza kwa wajinga wachache wasijitambua humu.Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
JF ni public forum, kila mtu ana uhuru wa kuchangia mada anayoitaka.Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Ndiyo hivyo.Kwamba wakikomaa wanaweza kuwatoa kwenye reli 😃?
Kumbuka hii ni public forum.
JF ni public forum, kila mtu ana uhuru wa kuchangia mada anayoitaka.
Na kila mtu ana mada zake pendwa, wengine mada za michezo hawakosi, wengine mada za siasa hawakosi. Na sisi hizi ndizo mada zetu, tatizo lako nini?
Usiulize kwa nini Kiranga anachangia sana mada hizi. Huu ni uhuru wangu. Jibu hoja.
Ukiuliza sana swali hilo utakuwa kama unafanya censorship hawa wakina Kiranga wasiandike.
Mimi hata sianzishi mada mkuu. Mada wanaanzisha wengine. Nyingine wala sizioni watu wananiita nichangie, wanapenda kujua mawazo yangu.
Tatizo lako nini?
Hupendi kuona mawazo tofauti na yako?
Kubali tu kuwa kuna watu tofauti na wewe.
Mbona sisi tumezungukwa na watu wanaoamini Mungu na kila siku tunalazimishwa kusikia habari za Mungu, ambazo tunaona ni uongo tu, na bado tunadunda tu?
Acha kufanya censorship.
Waachie watu waandike wanavyotaka.
Wewe pia unaruhusiwa kuandika unavyotaka hatujawahi kukuzuia kuanzisha au kupost mada zako.
Wajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.
Amenitag mkuu.Nimecheka sana, yaani umeibuka less than 10 minutes, anyway I agree with you, the right to freedom of opinion and expression.
Tatizo Kuna watu na dini zao hata kichwa wanakukata.
Hoja ni kwamba tangu muanze kupinga uwepo wa Mungu je hajamridhika? kwanini msituache sisi nasi tukaendelea na mtazamo wetu.JF ni public forum, kila mtu ana uhuru wa kuchangia mada anayoitaka.
Na kila mtu ana mada zake pendwa, wengine mada za michezo hawakosi, wengine mada za siasa hawakosi. Na sisi hizi ndizo mada zetu, tatizo lako nini?
Usiulize kwa nini Kiranga anachangia sana mada hizi. Huu ni uhuru wangu. Jibu hoja.
Ukiuliza sana swali hilo utakuwa kama unafanya censorship hawa wakina Kiranga wasiandike.
Mimi hata sianzishi mada mkuu. Mada wanaanzisha wengine. Nyingine wala sizioni watu wananiita nichangie, wanapenda kujua mawazo yangu.
Tatizo lako nini?
Hupendi kuona mawazo tofauti na yako?
Kubali tu kuwa kuna watu tofauti na wewe.
Mbona sisi tumezungukwa na watu wanaoamini Mungu na kila siku tunalazimishwa kusikia habari za Mungu, ambazo tunaona ni uongo tu, na bado tunadunda tu?
Acha kufanya censorship.
Waachie watu waandike wanavyotaka.
Wewe pia unaruhusiwa kuandika unavyotaka hatujawahi kukuzuia kuanzisha au kupost mada zako.
Kazi ya kupinga uwepo wa Mungu ni kazi endelevu.Hoja ni kwamba tangu muanze kupinga uwepo wa Mungu je hajamridhika? kwanini msituache sisi nasi tukaendelea na mtazamo wetu.
wewe una swali gani jipya tofauti na kwamba thibitisha huo uwepo wa mungu?
Cc: KirangaWajulishe kuwa hata AI Chatgpt amesilimu.