Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Shukurani mkuu.Hekima ni akili na maarifa ya kina sana yasiyokubali hasira na ambayo humtuliza na kumwelewesha hata mwenye upeo wa kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani mkuu.Hekima ni akili na maarifa ya kina sana yasiyokubali hasira na ambayo humtuliza na kumwelewesha hata mwenye upeo wa kawaida.
Asante kwa shukrani uwe na UHAI mrefu ili walio karibu YAKO na wanaokutegemea wafaidike nawe vyakutosha.Shukurani mkuu.
Duuh nchi inawatu wengi😄😄Epicurean Paradox haithibitishi kuwa Mungu hayupo, bali inapinga uwezekano wa kuwepo kwa Mungu mwenye sifa za ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.
Epicurean Paradox inahitimisha kuwa Mungu mwenye sifa fulani hayupo, si kwamba Mungu yoyote hayupo. Umewezaje kuthibitisha kuwa hakuna Mungu yeyote, hata asiye na sifa hizo? Kwa sababu hoja yako ni dhidi ya sifa, si uwepo wa Mungu kwa ujumla.
Mungu yupo kwa asilimia 100 na ushahidi upo na wanasanyansi wakubwa na mashirika ya kisayansi ya juu wanajua mungu ni nini tena ana sifa zote zilizo tajwaMungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Hakuna uhakika, ushahidi wala uthibitisho wowote ule wa kwamba Mungu yupo.
Hivyo Mungu hayupo.
Sasa wewe unakataa kwamba Mungu hayupo, Halafu umeshindwa kumthibitisha yupo.
Sasa unataka nini zaidi?
Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.Mungu yupo kwa asilimia 100 na ushahidi upo na wanasanyansi wakubwa na mashirika ya kisayansi ya juu wanajua mungu ni nini tena ana sifa zote zilizo tajwa
Ukitaka kujua kuwa mungu yupo mbona ni rahisi tu ...kwanza unatakiwa kujijua wewe ni nani kisayansi basi kazi imekwishaMthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.
Wanasayansi kujua sifa za Mungu bado hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.
Mimi ni mtu.Ukitaka kujua kuwa mungu yupo mbona ni rahisi tu ...kwanza unatakiwa kujijua wewe ni nani kisayansi basi kazi imekwisha
Kuna uhusiano mkubwa wa mtu na mungu kama ukijua kwa undani binadamu ni nani basi utamjua mungu kidini na kisayansiMimi ni mtu.
Sihusiki na huyo Mungu.
Mthibitishe huyo Mungu, yeye kama yeye.
Usimhusishe huyo Mungu na chochote, mthibitishe yeye kama yeye.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.Kuna uhusiano mkubwa wa mtu na mungu kama ukijua kwa undani binadamu ni nani basi utamjua mungu kidini na kisayansi
Mungu ni energy katika utimilifu wakeMungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Zaidi ya imaginations tu.
Ndio maana unahangaika kumwelezea na kufosi uwepo wake.
Hakuna Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.