Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,679
- 2,123
Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa kukaa chimyaaaUmempasua au tumekupuuza huna hojatumeamua kukalia chimyaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa kukaa chimyaaaUmempasua au tumekupuuza huna hojatumeamua kukalia chimyaaa
Point uliyoiruka ni kwamba agnostic wanasema hakuna njia ya kuweza kujua kuwa Mungu yupo au hayupo, kwahiyo theist akisema Mungu yupo agnostic atahoji amewezaje kujua? Na atheist akisema huyo Mungu hayupo pia agnostic atahoji amewezaje kujua?
Kitu ni either kipo au hakipo.Chengine ni kwamba si kuwa hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu tu bali pia hadi sasa hakuna ushahidi uliyoweza kuonyesha kutokuwepo kwa huyo Mungu, najua suala la uthibitisho linakupa shida kulielewa.
Nithibitishe mara ngapi?Hoja haijengwi kwa kusema 'wenzetu wanafanya, basi na sisi tufanye,' bali kwa kuleta uthibitisho wa wazi wa msimamo wako. Je, unaweza kuthibitisha kwa mantiki kuwa Mungu hayupo badala ya tu kusema kwamba kuna mafundisho yanayodai yupo?
Nikijua kwamba square root ya 4 ni lazima iwe ndogo kuliko 4, mtu akiniambia square root ya 4 ni 10, nashindwa kujua kwamba square root ya 4 si 10, kwa sababu 10 ni kubwa kuliko 4, hata kabla sijajua square root ya 4 ni nini?Unasema hujui watu walitoka wapi, lakini unasema unajua Mungu siyo chanzo chao. Hii ni argument from ignorance – unadai kitu fulani si sahihi pasipo kutoa uthibitisho wa mbadala. Kama hujui jibu sahihi, kwa mantiki huwezi kuwa na uhakika kwamba Mungu siyo chanzo. Unawezaje kuwa na uhakika kuwa Mungu hayupo kama hujui chanzo cha uhai?
Unapinga wazo la Mungu kwa sababu halina uthibitisho wa moja kwa moja, lakini unakubali wazo la evolution hata kama unasema ni gumu na lina controversy. Kwa nini unapendelea shaka upande mmoja lakini si mwingine?"
Nani alikudanganya kusilimu ni lazima iwe msikitini?Unasema nini wewe Bibi 🤣🤣🤣 huyu Ai ameslimu msikiti wa wapi ?
Tatizo unaruka hatua ambayo ni njia ambayo utatumia kuweza kujua hicho kitu kipo au hakipo. Wewe unaanzia tu kusema Mungu hayupo ila hujiulizi umewezaje kujua hilo? Chukua mfano embe lipo kwenye mti na limeiva kabisa, halafu anakuja mtu anakwambia kuwa hilo embe halina funza ndani, je wewe utakubali?Kitu ni either kipo au hakipo.
Sasa wewe unakataa kwamba Mungu hayupo halafu bado umeshindwa kumthibitisha yupo.
Sasa unataka nini?
Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao, wapo au hawapo?Tatizo unaruka hatua ambayo ni njia ambayo utatumia kuweza kujua hicho kitu kipo au hakipo. Wewe unaanzia tu kusema Mungu hayupo ila hujiulizi umewezaje kujua hilo? Chukua mfano embe lipo kwenye mti na limeiva kabisa, halafu anakuja mtu anakwambia kuwa hilo embe halina funza ndani, je wewe utakubali?
😂AiseeHuwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Mimi binafsi sijui kama wapo au hawapo.Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao, wapo au hawapo?
Epicurean Paradox haithibitishi kuwa Mungu hayupo, bali inapinga uwezekano wa kuwepo kwa Mungu mwenye sifa za ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.Nithibitishe mara ngapi?
Unanifuatilia?
Mara ngapi nimeongelea Epicurean Paradox na The Problem of Evil?
Umefuatilia Epicurean Paradox na The Problem of Evil?
Umeelewa hoja zilizomo katika mantiki ya maswali yanayoibuliwa na the problem of evil?
Na Mungu je?Mimi binafsi sijui kama wapo au hawapo.
Na mimi ndiyo nimeanza na Mungu huyo, na najitahidi kutokuwa general na kusisitiza kila ninapoandika Mungu naweka na sifa zake "Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote" ambaye anajumuisha hao kina Allah, Jehovah, etc.Epicurean Paradox haithibitishi kuwa Mungu hayupo, bali inapinga uwezekano wa kuwepo kwa Mungu mwenye sifa za ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.
Epicurean Paradox inahitimisha kuwa Mungu mwenye sifa fulani hayupo, si kwamba Mungu yoyote hayupo. Umewezaje kuthibitisha kuwa hakuna Mungu yeyote, hata asiye na sifa hizo? Kwa sababu hoja yako ni dhidi ya sifa, si uwepo wa Mungu kwa ujumla.
It's a free forum, jifunze kuvumilia maoni yanayokinzana na ya kwako.Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?
Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.
RAMADHAN KAREEM
Hapana, bado sijakubali kwa sababu hoja zako bado hazijathibitisha kuwa Mungu huyu hayupo. Kwa nini unataka mimi nithibitishe kitu ambacho wewe mwenyewe bado hujathibitisha? Endelea na hoja zako na ulete ushahidi wa moja kwa mojaNa mimi ndiyo nimeanza na Mungu huyo, na najitahidi kutokuwa general na kusisitiza kila ninapoandika Mungu naweka na sifa zake "Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote" ambaye anajumuisha hao kina Allah, Jehovah, etc.
Siwezi kuzungumzia miungu wote kwa pamoja, lazima nianze na Mungu fulani specific. Na huyu ndiye Mungu anayejulikana kwa wengi kwa kupitia dini.
Sasa, kwa kuanzia na huyu, umekubali kuwa huyu hayupo?
Maana kuna watu wanasema Beyonce ni Mungu wao, na wanasema Beyonce yupo, hao siwezi kubishana nao kusema kwamba Mungu wao Beyonce hayupo.
Epicurean paradox inamhusu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Ni Mungu maalum katika muktadha huo.Hapana, bado sijakubali kwa sababu hoja zako bado hazijathibitisha kuwa Mungu huyu hayupo. Kwa nini unataka mimi nithibitishe kitu ambacho wewe mwenyewe bado hujathibitisha? Endelea na hoja zako na ulete ushahidi wa moja kwa moja
Unasema unazungumzia Mungu maalum, lakini Epicurean Paradox ni hoja ya jumla dhidi ya dhana fulani ya Mungu, si dhidi ya Mungu maalum wa dini fulani. Kwa mfano, Uislamu unaeleza kuwa uovu ni sehemu ya majaribio ya imani, na Ukristo unaeleza kuwa uovu ulitokana na free will. Je, una hoja inayopingana na tafsiri hizi?
Maswali haya hayana afya mkuu tangu muanze kuuliza hamjawahi kuridhika tu?Na Mungu je?
Unajua yupo au hayupo?
Kwenye mifano umewataja wachina na wajapan 😁, hao wazungu uliowataja wengi wanaishi ishi tu bila imani.Watu wanajidai wana - akili nyingi mpaka za kuanza kupinga vitu tusivyovielewa kama uwepo wa Mungu, lkn wanashindwa kutengeneza hata chupi tu au pamba za kusafisha masikio, hata wao kuelewana wakaleta katiba moja akili zao zimegoma kukubaliana, ndo zielewe kuhusu Mungu kweli??
Wazungu ambao ndo waloleta hizi dini, Wayahudi mnaowasifia wana- akili ndo wavumbuzi..wanashika dini zao na wana-amini katika Mungu wao - sisi ambao hata akili za kujenga Mwendokasi kwa ufasaha hatuna mpaka tuwaite Wachina , Wajerumani, wajapani n.k ndo tunajifanya tuna akili zilizopitiliza mpaka tunapinga kwa kujiamini vitu tusivyovielewa na hatukubali kuwa hatuelewi...
Nakazia sio busara ni HEKIMA.Kwa nini umesema hivyo MamaSamia2025 ?
Tofauti yake ni ipi mkuu?Nakazia sio busara ni HEKIMA.
Hekima ni akili na maarifa ya kina sana yasiyokubali hasira na ambayo humtuliza na kumwelewesha hata mwenye upeo wa kawaida.Tofauti yake ni ipi mkuu?