Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

Agnostic haamini kwamba Mungu yupo au hayupo. Anaamini inawezekana Mungu akawepo au asiwepo.

Atheist hatuamini kwenye imani yeyote ile ya Mungu au miungu. Tunapinga uwepo wa Mungu na miungu.

Atheists hatuamini kwenye kuamini.

Hatuhitaji kuamini, Tunahitaji kujua.

Do you get the point?
Sasa nimekosea wapi kwenye logic yangu kwa sababu kundi la pili ni la wote wenye kutumia akili kufikiri kwa makini kuhusu akika ya uwepo wa mungu au kutokuwepo kwake .ni tofauti na kundi la kwanza ambao wao wanafuata mkumbo tu na dini za kurithi kwa wazazi ni mashabiki wa dini
 
Jikite kwenye kuwapuuza, fahamu kuwa shetani ana ufahamu mkubwa kutuzidi hadi alijitutumua kubishana na Yesu, sasa wewe binadamu unataka ushindane naye?
Wewe nae kwenye mada kukashifiana dini hukosi.
 
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.

Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.

Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?

Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.

RAMADHAN KAREEM

Uislamu na ukristo kwa waafrika ni baadhi ya makovu makubwa yaliyotokana na madhila ya utumwa na ukoloni. Ukombozi wa kweli wa mwafrika hautapatikana pasipo kuyaondos makovu haya.
 
Nadhani hawajiamini na msimamo wao hivyo pengine hutumia haya mabishano kupinga uwepo wa Mungu ili kujifariji, maana kwenye atheism hakuna majibu ya maswali waliyokuwa wakijiuliza kutokea kwenye dini.
Unaruhusiwa kudhani vyovyote hiyo ni haki yako ya kikatiba na kiutu.

Ukianza kuongelea facts, ni tag tujibizane.
 
Sasa nimekosea wapi kwenye logic yangu kwa sababu kundi la pili ni la wote wenye kutumia akili kufikiri kwa makini kuhusu akika ya uwepo wa mungu au kutokuwepo kwake .ni tofauti na kundi la kwanza ambao wao wanafuata mkumbo tu na dini za kurithi kwa wazazi ni mashabiki wa dini
Agnostic ndio wenye shida zaidi hawana upande sahihi wanao usimamia.

Agnostics hawana msimamo wa kipi wanasimamia. Wao wapo mguu mmoja ndani, mguu mwingine nje.

Atheists tupo direct and specific, Hakuna Mungu.
 
Ili mtu afikie hatua ya hayo makundi mawili ujue ameanza kutumia akili binafsi kufikili iwe kafikia itinisho au la bado anajitafuta ...ndiyo maana nikawaelezea kuwa hao wote ni kundi linalo jaribu kutumia akili tofauti na kundi la kwanza wao kundi la kwanza wanafuata mikumbo tu kama nyumbu ...ndiyo maana nawaita wapumbavu sana.
 
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.

Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.

Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu tuendelee na mjadala huwa mnapungukiwa kitu?

Huyu Bush Dokta Kaja kwa kasi sana kwenye kupinga uwepo wa Mungu.Ninaomba mwe mnatuchie mjadala sisi tunao amini uwepo wa Mungu asee huwa mnatuvuruga sana maana mnajua wazi majibu hatuna hivi ni vitu vya Imani sasa imani utaithibitisha vipi? Ni sawa na kuambiwa nenda kaniletee upepo.

RAMADHAN KAREEM
Mambo ya Mungu lazima yavute upinzani kutoka upande wa pili
 
Unaruhusiwa kudhani vyovyote hiyo ni haki yako ya kikatiba na kiutu.

Ukianza kuongelea facts, ni tag tujibizane.
Kuhusu atheism kutokuwa na majibu ya maswali mliyokuwa mkijiuliza nayo sio fact?
 
Atheism ni nini?

Kwa nini unafikiri atheism inapaswa kuwa na hayo majibu?

Maswali gani tuliyokuwa tunajiuliza?

Unajuaje tumejiuliza?

Maswali hayo yamejibiwa wapi?
 
1. Disbelief or lack of belief in the existence of God or gods.

2. Sifikirii atheism kwamba inapaswa kuwa na hayo majibu, ila atheists wenyewe wengi wao wanaeleza kuwa walikuwa wakijiuliza au kuuliza maswali na kukosa kupatiwa majibu.

3. Mfano mambo yenye kuhusu makosa/contradictions kwenye baadhi ya maandiko ya vitabu vya dini, baadhi ya mafundisho ya dini hupelekea kujiuliza maswali ila hukosa majibu. Maswali kama Mungu yupi ni sahihi? Maswali ya kuhusu problem of evil na mengine mengi.

4. Mnasema wenyewe.

5. Hapo nami nashangaa inakuaje mtu anaacha kutafuta majibu ya hayo maswali na kukumbatia atheism?
 
Atheism si somo la kutafuta majibu ya maswali yoyote nje ya kujibu swali la uwepo wa Mungu kwa jibu la hayupo.

Ukisema atheism haijibu swali la bei ya chai China leo ni shilingi ngapi, utakuwa na matatizo ya kutoelewa atheism ni nini.
 
Yeah hiyo inakuwa ni sawa na mtu kusema sitaki tena kuchosha akili ndio anaamua kupinga kabisa kila kinachoitwa Mungu au miungu kiujumla, ndio nashangaa kwa sababu uamuzi aliyouchukua ni mkubwa zaidi kuliko kukosa kwake majibu au mashaka aliyokuwa nayo kuhusu Mungu.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Hauna haja ya kueleza Mungu wa aina gani kwa sababu atheism inapinga kila chenye kuitwa Mungu/miungu, yani haijalishi vp wala vp ni kupinga tu chochote chenye kuitwa Mungu/miungu.

Hivyo sina haja ya kukubishia nachojua ni mtazamo tu.
 
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Ni mwendawazimu pekee ndiyo atapinga uwepo wa Mungu.
 
Uwepo wa mwendawazimu ni uthibitisho kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, isingewezekana mwendawazimu akawepo.

Sijui kama unaelewa hilo.
 
Watu wanajidai wana - akili nyingi mpaka za kuanza kupinga vitu tusivyovielewa kama uwepo wa Mungu, lkn wanashindwa kutengeneza hata chupi tu au pamba za kusafisha masikio, hata wao kuelewana wakaleta katiba moja akili zao zimegoma kukubaliana, ndo zielewe kuhusu Mungu kweli??
Wazungu ambao ndo waloleta hizi dini, Wayahudi mnaowasifia wana- akili ndo wavumbuzi..wanashika dini zao na wana-amini katika Mungu wao - sisi ambao hata akili za kujenga Mwendokasi kwa ufasaha hatuna mpaka tuwaite Wachina , Wajerumani, wajapani n.k ndo tunajifanya tuna akili zilizopitiliza mpaka tunapinga kwa kujiamini vitu tusivyovielewa na hatukubali kuwa hatuelewi...
 
Back
Top Bottom