Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.God exist
Atheists ni watu ambao bado wapo katika hatua za Kati za ukuaji wa ufahamu.
Kitu Ambacho hakipo ni dini but not God
Miaka nenda rudi mnapambana kumwelezea na kumtetea huyo Mungu na wala hajawahi kuonekana yeye mwenyewe.
Mnahangaika kutetea imani zenu uchwara za kufikirika mlizopumbazwa na mnazo pumbazana vizazi kwa vizazi.
Ninyi Theists ndio mpo katika hatua changa kabisa ya ukuaji.
First of all, You all need to restore your brains 🧠 to factory settings.