Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

Duuh nchi inawatu wengi😄😄
Vitu vingine muwe mnanyamaza basi mnatufanya mda mwingne tuonekane sisi ni mazombi ya waarabu na wazungu,
Kwahyo sisi tunaposema Mungu mwenye nguvu,asieshindwa,anaejua kila kitu kabla na baada,mwenye upendo mwenye huruma mwenye hekima na busara, ,,unafikiri Hawa washkaji zetu wasioamini wanakuwa hawasikii? Haya tukiwanyima hizo sifa kwa akina mungu wetu Hawa Jehova/Allah WANAKUWA WAPO AU HAWAPO?
 
Mungu yupo kwa asilimia 100 na ushahidi upo na wanasanyansi wakubwa na mashirika ya kisayansi ya juu wanajua mungu ni nini tena ana sifa zote zilizo tajwa
 
Mungu yupo kwa asilimia 100 na ushahidi upo na wanasanyansi wakubwa na mashirika ya kisayansi ya juu wanajua mungu ni nini tena ana sifa zote zilizo tajwa
Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.

Wanasayansi kujua sifa za Mungu bado hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.
 
Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.

Wanasayansi kujua sifa za Mungu bado hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.
Ukitaka kujua kuwa mungu yupo mbona ni rahisi tu ...kwanza unatakiwa kujijua wewe ni nani kisayansi basi kazi imekwisha
 
Ukitaka kujua kuwa mungu yupo mbona ni rahisi tu ...kwanza unatakiwa kujijua wewe ni nani kisayansi basi kazi imekwisha
Mimi ni mtu.

Sihusiki na huyo Mungu.

Mthibitishe huyo Mungu, yeye kama yeye.

Usimhusishe huyo Mungu na chochote, mthibitishe yeye kama yeye.
 
Mimi ni mtu.

Sihusiki na huyo Mungu.

Mthibitishe huyo Mungu, yeye kama yeye.

Usimhusishe huyo Mungu na chochote, mthibitishe yeye kama yeye.
Kuna uhusiano mkubwa wa mtu na mungu kama ukijua kwa undani binadamu ni nani basi utamjua mungu kidini na kisayansi
 
Kuna uhusiano mkubwa wa mtu na mungu kama ukijua kwa undani binadamu ni nani basi utamjua mungu kidini na kisayansi
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.

Zaidi ya imaginations tu.

Ndio maana unahangaika kumwelezea na kufosi uwepo wake.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.

Zaidi ya imaginations tu.

Ndio maana unahangaika kumwelezea na kufosi uwepo wake.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mungu ni energy katika utimilifu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…