BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sisi wafuasi wa vuguvugu la kupinga ufirauni tumesikitishwa na kutokomea kwa Museven baada ya muswada dhidi ya ushoga kuletwa kwake.
Bunge lilishamaliza kazi yake, hivyo tulitarajia apitishe hiyo sheria chap chap tuanze kazi ya kuwasambaratisha wasagaji kwa mijeledi.
Kwa jinsi tulivyojaa upepo na mihemko ya kutaka kuwashughulikia mashoga, tunaona tunachelewashwa, na inaonekana ni kama vile Museven ametokomea shimoni bila kutujuza sisi wafuasi wake.
Tangu Museven alipopigwa mkwara na mabeberu, leo ni siku ya saba hajaonekana. Tuna mashaka amejibanza mahali akitafakari mbwinu mpya na mikakati kabambe ya kuishinda vita hii iliyobarikiwa sana.
Vita hii ya usagaji ikishinda, hata sisi wafuasi wake tulio Tanzania tutapata motisha na ari ya kutunga sheria ya kulinda mila zetu zilizoasisiwa na baba wa taifa Mwalimu Nyerere na machifu wenzake.
Hili ni jambo jema, lakini tunatamani kiranja wetu wa ushoga kutoka Uganda atuongoze, ili hata akipewa kibano na mabeberu, sisi tutajifunza kwake na kuchukua hatua stahiki kwa mustakabali wa taifa.