Kiranja wa kudhibiti ushoga Afrika Mashariki katokomea wapi?

Kiranja wa kudhibiti ushoga Afrika Mashariki katokomea wapi?

Museveni anajua kitakachompata ndio maana kakaa kimya, ushoga haujaletwa na wazungu, hao vijana mashoga waliojaa hapo bongo hawajawahi hata kukutana au kuongea na mzungu, mashoga yamejaa mombasa, Dar na Zanzibar kuliko San Fransisco, kudai kuwaua au kuwafunga mtaishia kuwaua ndugu zenu tuu, mzungu sio mnafiki na amekubali mashoga wapo na wataendelea kuwepo tuu bora kuishi nao tuu kama binadamu wengine, naamini sio rahisi mtu kujifanya yeye ni shoga kama sio shoga, waacheni tuu waishi maisha yao
Mseveni aliisha tia sahihi msaada kuuwawa na siyo bakora tena mbele ya waandishi sasa inakuwaje unadai kaingia mitini
 
Mwarabu naye mweupe?
Huyu ndiye mphiraji wa kwanza na mzungu ndiye mpuliza filimbi...wakati waarabu wanaphirana kimya kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee

Kwamba ni KUPHIRA?
 
mzungu sio mnafiki na amekubali mashoga wapo na wataendelea kuwepo tuu bora kuishi nao tuu kama binadamu wengine, naamini sio rahisi mtu kujifanya yeye ni shoga kama sio shoga, waacheni tuu waishi maisha yao
kuishi na watoa viboga tena mkuu 😀 😀 😀
 
Kwahiyo unamaanisha tuendelee kuishi na wezi, majambazi, vibaka? Ushoga ni uhalifu. Mimi naona haya mambo wangeachiwa wananchi wawashughulikie hata kwa viboko tu ingetosha sana kuondoa hili tatizo mbona simple sana. Ila serikali inawaacha na jamii pia haipewi mamlaka ya kutatua tatizo tunabaki tunawaangalia wanavyoiangamiza jamii na taifa letu.
Uhalifu au tabia yoyote isiyokubalika haimalizwi na sheria kali. Sheria za kukatazwa ushoga na adhabu zake zilizopo zinatosha. Tutumie hizo sheria kutoa adhabu. Lakini sheria za kikatili kama kuwanyonga mashoga ni sheria za kikatili. Mbona uarabuni kuna sheria kali kama vile kunyinga, kukata viungo, na kupiga mawe mpaka kufa, lakini hadi leo makosa husika bado yapo! Tena waadibiwa wengi ni wanawake huku wanaume wakipeta bila kuadhibiwa huku hali hali huhusika katika makosa hayo.
 
Hasira za B. 50 wamezipeleka kwa vijana wao wanaowafanya nyuma

Ningeelewa ningeona shoga kasimamishwa na bwana wake pembeni.

Naming and shaming itatokomeza wafiraji wanaowaharibu wenetu
Mbona "naming and shaming" haijatokomeza mafisadi?
 
Wewe mwanao akianza dalili za hayo mambo utaishi nae tu? Kusema tuishi nao tu ni kupalilia laana na mavuno yake ni kuangamia. Hiyo tabia ipo karne nyingi lakini ilikuwa inapingwa na jamii zote na kufanyika kwa kificho sana.

Hatuwezi kutokomeza kabisa hilo lakini sio sasa kuendesha kampeni za kudai haki zao kama kundi maalum ili wawe huru. Usichojua mfano Tanzania tunayo sheria ya adhabu kwa ushoga na hiyo sheria yapo mashinikizo ya kuifuta na ili kufurahisha wakubwa tuwe na sheria ya kuwapa uhuru mashoga!

Kuwapa uhuru mashoga maana yake serikali itambue ndoa zao rasmi. Hapo rasmi itakuwa si kosa wao kuwa wazi juu ya mahusiano yao. Sheria ikiwatambua itakuwa kosa kisheria kusema ushoga ni mbaya au dhambi! Ni mlango wa kufunga dini mdomo kusema ukweli juu ya ushoga.

Hili jambo kama haupo serious na mambo ya kiroho bila kujali dini yako huwezi kuelewa huu upuuzi unaelekea wapi. Sisi wengine tunafatilia harakati zinazoendelea duniani juu ya ushoga na mambo ya jinsia! Ni hatari sana sana! Kelele zetu sio kufanya jambo kubwa bila sababu bali kupaza sauti zetu viongozi wajue, hao wakubwa wajue wana mipaka.

Faida ya kelele zetu ni kilichotokea jana, hilo jambo halikugusiwa kabisa. Ghana hawakujiandaa na sasa wapo kwenye mgogoro! Rais katupia mzigo bunge mbele ya VP Kamala, bunge limetamka litatunga sheria kali dhidi ya ushoga.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mbona tunaishi na watoto wetu majambazi, wezi, firauni, wabakaji, n.k. Wakiwa shoga ndiyo tushindwe kuishi nao!
 
Uhalifu au tabia yoyote isiyokubalika haimalizwi na sheria kali. Sheria za kukatazwa ushoga na adhabu zake zilizopo zinatosha. Tutumie hizo sheria kutoa adhabu. Lakini sheria za kikatili kama kuwanyonga mashoga ni sheria za kikatili. Mbona uarabuni kuna sheria kali kama vile kunyinga, kukata viungo, na kupiga mawe mpaka kufa, lakini hadi leo makosa husika bado yapo! Tena waadibiwa wengi ni wanawake huku wanaume wakipeta bila kuadhibiwa huku hali hali huhusika katika makosa hayo.
Uarabuni hakuna mambo ya kijinga mzee wangu hasa nchi za kiislam. Sio sababu ya sheria zinazowalimit kufanya baadhi ya vitu ila ni ile hofu ya Mungu inamfanya mtu hata kuiba anaona uzito. Fanya research mwenyewe kuna zile video za traveling watu wanafanya comparison ya nchi za western na za kiislam. Westerners hawana hofu ya Mungu. Nchi za kiislam ziko peaceful sana hakuna matukio ya ajabu ila media za magharibi zinauchafua uislam
 
Back
Top Bottom