Kiranja wa kudhibiti ushoga Afrika Mashariki katokomea wapi?

Watu wanapiga dola milioni 50 za ndege mko kimya, mngekuwa na energy kama ya kelele mnazopiga kwa mashoga mngekuwa na maendeleo kuliko US, hamjitambui nyie kaa kimya
Hasira za B. 50 wamezipeleka kwa vijana wao wanaowafanya nyuma

Ningeelewa ningeona shoga kasimamishwa na bwana wake pembeni.

Naming and shaming itatokomeza wafiraji wanaowaharibu wenetu
 
Na wingi wa posts za ushoga ndiyo promo yake.

Damned people haswaa
 
Wanaufunika moto Kwa shuka
 
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Alivyokauka utafikiri anasubiria hukumu vile
 
Hii ndio Hali halidi huko UG mashoga wanashughulikiwa kweli kweliView attachment 2571553
Huu uhuni wa kupiga mashoga kama sio binadamu haukubaliki, na jamii ya watu waliostaraabika haiwezi kufanya huu ushenzi, akili za hawa mbwa ni kama wale wauaji wa vile vibibi vyenye macho mekundu vilivyokuwa vinasingiziwa uchawi, au wauaji wa albinos kwa imani za kichawi, serikali lazima ilinde watu wote bila kujali ni mashoga au sio
 
Mwanao akiwa shoga ndio ajili zitakusogea
 
Mu7 hana kitu ataweza kusema hapo wanamsubiri ajichanganye tu yamkute kama yaliyowakuta madikteta wenzie wanaong'ang'ania Nchi utasema ni nyumba ya familia
 
Museven ashachoka kuona wanaume wanabinuliwa kama baiskeli
 
Nasikia kajificha chini ya kitanda hadi chai wanampelekea huko huko hataki kuonana na mtu [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787][emoji12][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…