Kiranja wa kudhibiti ushoga Afrika Mashariki katokomea wapi?

Nakuelewa. INASIKITISHA SANA.

Japo hiyo video sio ya Uganda. Huyo anayepigwa ni dogo wa Nigeria ambaye alituhumiwa kwa wizi mwaka 2020 nafikiri.

Hii video imekuwa ikitumika kwa makusudi kuchochea hasira za watu dhidi ya mashoga. Ni kama aina fulani hivi ya propaganda ya vita ya ushoga.

Either this or that, kupiga watu bakora kama ng'ombe haikubaliki under any circumstance.
 
Mwanao akiwa shoga ndio ajili zitakusogea
Hapana, hata kama ni hivyo, huwezi kumpiga fimbo kama mnyama.

Ndio maana kuna sheria za nchi na miongozo halali inayokubalika ili kushughulika na haya yote.

Huwezi tu kuamka ukaanza kurarua watu kwa mijeledi barabarani.
 
Wewe mwanao akianza dalili za hayo mambo utaishi nae tu? Kusema tuishi nao tu ni kupalilia laana na mavuno yake ni kuangamia. Hiyo tabia ipo karne nyingi lakini ilikuwa inapingwa na jamii zote na kufanyika kwa kificho sana.

Hatuwezi kutokomeza kabisa hilo lakini sio sasa kuendesha kampeni za kudai haki zao kama kundi maalum ili wawe huru. Usichojua mfano Tanzania tunayo sheria ya adhabu kwa ushoga na hiyo sheria yapo mashinikizo ya kuifuta na ili kufurahisha wakubwa tuwe na sheria ya kuwapa uhuru mashoga!

Kuwapa uhuru mashoga maana yake serikali itambue ndoa zao rasmi. Hapo rasmi itakuwa si kosa wao kuwa wazi juu ya mahusiano yao. Sheria ikiwatambua itakuwa kosa kisheria kusema ushoga ni mbaya au dhambi! Ni mlango wa kufunga dini mdomo kusema ukweli juu ya ushoga.

Hili jambo kama haupo serious na mambo ya kiroho bila kujali dini yako huwezi kuelewa huu upuuzi unaelekea wapi. Sisi wengine tunafatilia harakati zinazoendelea duniani juu ya ushoga na mambo ya jinsia! Ni hatari sana sana! Kelele zetu sio kufanya jambo kubwa bila sababu bali kupaza sauti zetu viongozi wajue, hao wakubwa wajue wana mipaka.

Faida ya kelele zetu ni kilichotokea jana, hilo jambo halikugusiwa kabisa. Ghana hawakujiandaa na sasa wapo kwenye mgogoro! Rais katupia mzigo bunge mbele ya VP Kamala, bunge limetamka litatunga sheria kali dhidi ya ushoga.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
tatizo sio kuliwa kwao tatizo lipo kweny kujitangaza na kutaka kufanya ni jambo LA kawaid nataman iwepo task force ya kutokomeza mashoga shot to kill hasa Hawa kweny social media kulinda kizazi chetu
 
Wewe mwanao akianza dalili za hayo mambo utaishi nae tu?
Unataka nimfanyeje? nimuue?

lakini sio sasa kuendesha kampeni za kudai haki zao kama kundi maalum ili wawe huru.
Sijawahi kuona kitu kinaitwa "kampeni ya ushoga". Hizo ni ngonjera.

Kama kumeshakuwepo na "kampeni ya ushoga", weka uthibitisho.

Ninachojua, kuna mazoea ya wanasiasa kuwavamia mashoga ili kutafuta kiki kwa pikipiki na kuwapa vitisho vya kuwaua au kuwajeruhi.

Hiyo ni provocation, ndio maana taasisi za ulimwengu zinaibuka kuwakemea madikteta uchwara wanaosaka kiki za bei nafuu kwa mgongo wa ushoga.

Hivyo, hiyo sio "kampeni ya ushoga", ni response to provocation.


Usichojua mfano Tanzania tunayo sheria ya adhabu kwa ushoga
Tanzania hatuna sheria ya ushoga. Tuna sheria ya ulawiti ambayo inafanya kazi kwa watu wote bila kujali jinsia za washiriki wa kitendo.

Faida ya kelele zetu ni kilichotokea jana, hilo jambo halikugusiwa kabisa
Kutokuongelewa haifanyi ushoga kupotea.

Hiyo ni for the sake of diplomatic convenience tu.
 

Acha upuuzi ndugu, Subiri utakapokuwa na mtoto wako likawa Punga ndio utakapofahamu. Ishu sio nani kauleta au nani kauanzisha, Ishu ni kutumia nguvu nyingi kuusimamisha ili ustawi kwenye Jamii, na hicho ndicho kinachofanywa na wazungu. Ni wajibu wetu kupapambana na hilo jambo.
 
Mwanao akiwa shoga utamfanya nini?
 
Amejikuta yuko peke yake ukanda wote wa Afrika. Viongozi wengi ni wanafiki wala hawamuungi mkono, wako na Wazungu.
 
Shoga katika ubora wako.
Unatia aibu na kinyaa wewe
 
Chief kulawiti maama take Nini?
 
Kelele zipi bwana weee,
Hujui kama kuna fungu linaingia kila mwaka kwa ajili hiyo,
Kamala hakuna Tz kuzungumza Ushoga na Usagaji huko walishamaliza watangulizi wake, kilichomleta ndio kile alichokisema,

Serikali ya Tz haijawahi kuwaghasi Mashoga na Wasagaji sasa aje azungumze nini,

Rejea ishu ya Makonda.
 
lipo moja mtaani ni kichefuchefu aise halafu huwa nashangaa kwanini wanawake wanawapenda sanaa?
 
Hawa watu wabaya sana utakuta wamemwambia kuwa hata mtoto wako hawezi kuwa lolote hapo
Ila mzee hana utani na mpaka sasa wengi wako jela kutoka labda wapate mimba [emoji1] [emoji1787]
 

Kwamba atarushiwa mavi anuke ama???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…