Kirefu na maaana ya LLB

Mkuu nimejaribu kupitia huu uzi sijaona kosa la Nyani Ngabu Kama kosa lake ni kuhoji madai ya LLB kuwa bora kuliko zingine, nafikiri angestahili maelezo na sio matusi.
Na inashangaza sana lawyer kuwa extra emosional... Yaani mahakamani lazima ushindwe
 
Last edited by a moderator:
Basi tuambie wewe kwann taaluma ya sheria imekuwa easy kiasi hiki siku hizi?

baada ya kupata uhuru mpaka kwenye miaka ya 80's wasomi kwenye level ya chuo walikuwa wachache sana na ndio maana chuo kilichokuwa kinatoa wanasheria ni UDSM ila miaka hii ya kuanzia 2000 wanafunzi vyuoni wamekuwa wakiongezeka wengi wamejiunga kusoma sheria UDSM pekw yake kisingetosha kuaccomodate wanafunzi wote wanaoongezeka nadhani ndio sababu kubwa ya kuanzishwa kwa fani ya sheria kwenye vyuo mbalimbali Tz ukiacha UDSM.
 
University professors siyo wasomi?

Mwanasheria mwenye kishahada kimoja cha UDSM atakuwaje msomi kumzidi PhD wa agricultural economics ambaye anafanya kazi Bank of America, kwa mfano?

usimdharau mtu ndugu yangu hata huyo mwenye phd ya agro-economics nae kuna wakati anamuhitaji mwanasheria hawezi kufanya kila kitu japokuwa amesoma level ya phd. Kila mtu ni msomi katika fani aliyoichagua huwezi ukacompare kihivyo unavyofanya wewe kila fani ina umuhimu wake.
 
The "Lords of the Last Bench"na usidoubt bro ndio kirefu chake!!!
 
Na yote ni katika ile mitiririko ya Queens Bench,Kings Bench and the Likes!!!
 

Una uelewa finyu ktk mambo ya sheria,rudi kwa Mwalimu wako akufunze vizuri.
 
Una uelewa finyu ktk mambo ya sheria,rudi kwa Mwalimu wako akufunze vizuri.

Una matatizo ya akili wewe nimesomo kozi zaidi ya 20 ktk LL,B(CRIMINAL LAW,SALES OF GOODS,JURISPRUDENCE I,2,3&,CONTRACT 1&2,EVIDENCE I&2,COOPERATIVE LAW,COMPANY LAW,TAX LAW,LAW OF TORTS,CRIMINAL PROCEDURE,CIVIL PROCEDURE1&2 ,INSURANCE LAW,BANKING LAW nina uelewa mkubwa sana mara1000 zaidi yako tulia wanasheria wasomi tudadavue mada hii kwa manufaa ya LAYMEN wote wa humu jf kama wewe
 

Na mwanasheria kuna wakati anamuhitaji fundi mwashi, fundi makenika, daktari, mhasibu, fundi umeme, fundi bomba, mchumi, na wataalamu wengineo wengi tu.

Mwanasheria naye hawezi kufanya kila kitu mwenyewe japokuwa ana kidigrii chake kimoja cha sheria.

Na ni kweli, hata wasomi wengine wa fani zingine nao ni wasomi lakini huwaoni wakiitana wasomi kwa sababu wanajua umuhimu wa unyeyekevu. Mtu hajui mambo lukuki lakini bado anajiita msomi. WTF?

Na uko sahihi, kila fani ni muhimu. Ni ujinga kudai kuwa sheria ndo fani bora zaidi au ndo fani inayoheshimika zaidi duniani.
 

You layman unayefanya kazi ya kubeba box shule hujaenda unabisha nini
 

Kama wewe na hilo jinga Mossad ndo mnaakisi aina ya wanasheria wa kibongo, kaazi kweli kweli.
 
You layman unayefanya kazi ya kubeba box shule hujaenda unabisha nini

Hata kama sijaenda shule na ninafanya kazi ya kubeba box nakuhakikishia I'm a whole lot smarter than your stupid dumb ass. You ain't got nothing on me.
 
Uzi umegeuka "street fight"....

Ila mtu ana degree moja ya sheria ati na kushinda pale viwanja vya posta sinza "law school" ndio awe msomi kuliko a paediatric surgeon au political scientist!!!!!

Yaani umchukue graduate wa pale Yombo UDSM ajitutumue kuwa msomi mbele ya say Prof Baregu?????!!!!!
 
Hata kama sijaenda shule na ninafanya kazi ya kubeba box nakuhakikishia I'm a whole lot smarter than your stupid dumb ass. You ain't got nothing on me.
come down you layman kwanza ushafua nguo na kuosha vyombo ?
nasikia unaogesha wazee u.s.a
 

Political science unafananisha na LAW? una akili wewe? unadhani kuwa LEARNED ADVOCATE ni rahisi? kozi ya law unafananisha na political science? kozi ya political science haina umuhimu kabisa !
 

Haaaaa haaaa pole sana.

Njoo State Attoney (Nyanda za juu kusini-Mby)

Kweli taaluma ya Sheria Imevamiwa.
 
Political science unafananisha na LAW? una akili wewe? unadhani kuwa LEARNED ADVOCATE ni rahisi? kozi ya law unafananisha na political science? kozi ya political science haina umuhimu kabisa !
Ha ha ha haaaaaa haya mkuu said to be "learned" mimi akili ntazitoa wapi bhana nami sio mwanasheria msomi???!!!!!
Indicator za msomi huko sheriani ni zipi kwani???!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…