weraweraaaaaa!!!!!Nimeshikwa na huruma......Mbao 2
mkuu nani anaongoza ??
Mbao 2:0 Ngayamkuu nani anaongoza ??
Hujui nani yupo nyumbanimkuu nani anaongoza ??
Mbao.mkuu nani anaongoza ??
Mkuu si kushikwa ila tumekumbatiwa haswaaaaaLEO YANGA TUMESHIKWA.
Hee. Jamani ni kweli auYanga wanazidi kupewa vitu.
weraweraaaaaa!!!!!
YANGA wanafanya nini sasa!!!!.....wanapaki basi asubuhi hii!!!!Mbao mtaua mtu,mmefunga lakini Yanga ndio wanazuia wote nyuma