Shishi ametokaYANGA wamekipata cha moto.
Shishimbi na Tambwe hoiiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shishi ametokaYANGA wamekipata cha moto.
Shishimbi na Tambwe hoiiiiiiiiiiii
Hivi bado dk ngp?mbao kuna mjinga ametolewa kwa default 2 yellows
Mnashinda njaa!!Yanga tunashinda hii mechi
Mnashinda njaaa mana hata salary hamlipwiYanga tunashinda hii mechi
Bado dakika ngapi mpira kumalizika?Mbao 2-yanga o
Dakika 89 Yanga wanalinda goli zisizidiDk ya ngap?
Huku redioni mbona Yanga kashinda 2, haya ni matokeo ya TV?Mbao 2-yanga o