Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Mpira hauchezwi mdomoni,simba alibanwa na mbao kumbukeni maneno yenu,sasa yamewakuta na bado
 
Mtaa wa Msimbazi sherehe zimeshaanza....

23ed0b0a6accc786aa2e3ce2ad55cb5f.jpg
6da3981cc12531e0b74197e6466b46ae.jpg
Kawaida. Shida huanza msimu unapoanza kuelekea ukingoni
 
Chozi limenitoka yaani hii team Sijui imekula maharagwe ya wapi...... Jaman yanga kwa nini lakini daaaaah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
He..! Mbao hizi hizi za Mwanza.!!Shishi ...na Tambwe walikuwepo? Shangwe za new year zimeshaingia sumu..!
 
Madogo acheni mihemuko. Hii ni ligi sio knockout competition. Safari bado ndefu sana.
Mbao kashinda kihalali. Hatulaumu Refa, TFF na wala hatuendi FIFA kama wale wengine
 
Yanga amepoteza pointi 3, Mikia wamepoteza kombe la FA. The difference is clear!!!
 
Mbao leo wamepaua kbxah na kumaliza kila kitu na kikubwa zaidi wamedhihirixha ubabe wo mbele ya wana yanga
 
Back
Top Bottom