Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kuanzia leo ni marufuku kusingizia kuwa vyuma vimekaza wakati mbao ndo...
 
Aisee Mbao mnaharibu sherehe hii, nyambaaf kabisa
 
Wana Yanga wakiperuzi simu zao.....

2f7faefba7b9cb255af70d2cf32e35cf.jpg
 
Chozi limenitoka yaani hii team Sijui imekula maharagwe ya wapi...... Jaman yanga kwa nini lakini daaaaah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Wacha kabisa my dear. Nimenuna balaa hapa.

Ila ndio hivyo upenzi uko damuni nitaendelea kuipenda yanga tu.
 
Back
Top Bottom