huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea kutimua na kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, mwenyeji Mbao imemsambaratisha mgeni wake Yanga kwa bao 2 bila majibu.
Magoli ya Mbao yalifungwa kupitia kwa Habibu Kiombo Dakika ya 53 na Dakika ya 69 Kiombo alipigilia msumari wa ushindi kwa kufunga goli la pili. Dakika ya 76, David Mwasa wa Mbao FC alitolewa nje baada ya kulamba kadi nyekundu pia kocha Ettien wa Mbao alitolewa kwenye bench la ufundi.
Hiki kinakuwa kichapo Cha kwanza kwa Yanga kwenye ligi kuu msimu huu na wanaachwa kwa alama tano na vinara wa Ligi, Simba na Azam yenye utofauti wa magoli.
Kwengineko, Singida United imeibamiza Njombe mji kwa bao tatu kwa moja hivyo kukwea nafasi ya tatu iliyokuwa ikishikiliwa na Yanga.
======
abarini wanajamvi......
Huko #CCM-Kirumba matokeo vp?
Npo porini kidogo.....
Nimeenda kuupokea mwaka mpya kijijn.........