Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

Kirumba, Mwanza: Mbao 2-0 Yanga, Yanga yapokea kichapo Cha kwanza na kudondokea nafasi ya nne

1eae35d6373f481ea83d78ab06667fad.jpg
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]
Duh!!
 
Pole sana kuna zile dawa za kupunguza maumivu na donge. Meza mbili kila baada ya masaa manne zitakusaidia sana. 🙂🙂

Nimenuna hapa ujue wacha kabisa BAK.

Ila ndio hivyo siku zote hatubaki nyuma tunasonga mbele.

"Eti kufungwa kwa mbinde" lol
 
Bao mbili ni kwa mbinde kaka tena dk zenye mwanzo kabsa acha kupotosha umma kisa wewe ni mnaz wa yanga
 
Back
Top Bottom