Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 1, 2017 #261 Kaabah said: Mkuu hiyo ni salama kwako maana ungefika fainali ungekula 4G na Mnyama huku tuko 9 dadaadeki..! Click to expand... Hiyo ndoto. Hizo 4G mpigeni Mbao tuone
Kaabah said: Mkuu hiyo ni salama kwako maana ungefika fainali ungekula 4G na Mnyama huku tuko 9 dadaadeki..! Click to expand... Hiyo ndoto. Hizo 4G mpigeni Mbao tuone
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 May 1, 2017 #262 Sibonike said: Hiyo ndoto. Hizo 4G mpigeni Mbao tuone Click to expand... Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali.
Sibonike said: Hiyo ndoto. Hizo 4G mpigeni Mbao tuone Click to expand... Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali.
S salawapeter Member Joined Sep 14, 2016 Posts 8 Reaction score 8 May 1, 2017 #263 TFF ya Malinzi iibebe Yanga tena maana hawana hata haya. Maamuzi ya kamati bado hayajakamilika kutoa pointi kwa Kagera Sugar bila kuwataarifu Simba SC kwa maandishi kuwa wamepokwa pointi.
TFF ya Malinzi iibebe Yanga tena maana hawana hata haya. Maamuzi ya kamati bado hayajakamilika kutoa pointi kwa Kagera Sugar bila kuwataarifu Simba SC kwa maandishi kuwa wamepokwa pointi.
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 1, 2017 #264 Kaabah said: Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali. Click to expand... Ya nini tuandikie mate? Tusubiri!
Kaabah said: Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali. Click to expand... Ya nini tuandikie mate? Tusubiri!
LadyAJ JF-Expert Member Joined Oct 21, 2015 Posts 7,173 Reaction score 9,642 May 1, 2017 #265 Sibonike said: Anzeni kupekua hadi kadi za clinic labda kuna wachezaji wa Mbao wanazo tatu tatu. Click to expand... Hayo ni maneno ya mkosaji
Sibonike said: Anzeni kupekua hadi kadi za clinic labda kuna wachezaji wa Mbao wanazo tatu tatu. Click to expand... Hayo ni maneno ya mkosaji