Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Hiyo ndoto.
Hizo 4G mpigeni Mbao tuone
Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali.
 
TFF ya Malinzi iibebe Yanga tena maana hawana hata haya. Maamuzi ya kamati bado hayajakamilika kutoa pointi kwa Kagera Sugar bila kuwataarifu Simba SC kwa maandishi kuwa wamepokwa pointi.
 
Bwihi [emoji16] [emoji16] hatusumbui hata kidogo, kama aliweza kuelemewa hadi anaruhusu goli 3 kwa dk 10 atawezaje kufua dafu kwenye fainali.
Ya nini tuandikie mate? Tusubiri!
 
Back
Top Bottom