Bado ni 0-0 mkuuNifah tupe matokeo pls.
Nawaona! Watoto hawana adabu hawa ila Leo tunawanyooshaBora umekuja mpenzi,mbao wamekaza...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa jinsi mbao walivyokaza bila shaka Muamala FC wameshafanya yao.
Hawa huwa wanakaza kipindi cha kwanza tu,baada ya hapo wanachapwa kama wamesimama.Nawaona! Watoto hawana adabu hawa ila Leo tunawanyoosha
Ndo la kwanza hilo... Mmejifunga... Utakuja kutujibu kama ni kuni au mbaoHivi hii ni Mbao au Kuni?
Nawewe utapigwa ngapi ?Yanga lazima apigwe mbili bila
Asante Simba kwa kumlipa DanteDaaaaaamn! Mbao wamepata goal hapa.
Dakika ya 26 Mbao 1-0 Yanga.
Dante kajifunga.
Tumewatanguliza ngoja uone what nextNdo la kwanza hilo... Mmejifunga... Utakuja kutujibu kama ni kuni au mbao
HahahaaaaaaAsante Simba kwa kumlipa Dante
Ni kweli mbao wanaongoza?Maana wengine hatupumziki hata iwe holiday/Weekends hata muda wa kucheki mpira ni tatizo.Kama amefungwa basi ni raha kweli kweli kwangu.Daaaaaamn! Mbao wamepata goal hapa.
Dakika ya 26 Mbao 1-0 Yanga.
Dante kajifunga.
Relax mama,mpira bado sana.Nawewe utapigwa ngapi ?
Ni kama ulivyosoma mkuu,furahi while it last.Ni kweli mbao wanaongoza?Maana wengine hatupumziki hata iwe holiday/Weekends hata muda wa kucheki mpira ni tatizo.Kama amefungwa basi ni raha kweli kweli kwangu.