Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Watu kama wewe huwa mnazingua sana,hoja imewekwa nyingine umekurupuka kuwasimanga wengine. Mzee baba kama unajiona una busara nenda LinkedIn,twitter au magrup ya wazee watsup

#mhengapoteaJF
nimeshamaliza wahusika watalizingatia hili na hii kesi sio moja ni kama ya tano watoto wadogo mmelivamia jukwaa kwa fujo miaka ya 2012 nilikuwa ni kikosa kwasiku kusoma jf nilikuwa najisikia vibaya na nilikuwa tayari bando langu liishie humu lakini sasa nachunguria tu kila hoja naona pumba hazina ushawishi wala mvuto kuja kuchunguza watoa hoja kumbe ni watoto wadogo waliojiunga 2016 na 2019 MNATUARIBIA SIO LAZIMA na NYIE MUONEKANE kama vipi piteni wima
 
Duh haya huyu mwamba ndio kaishatia timu kwetu

Don't You Panic mwana.... Yamekukuta mangapi tangu ukiwa mdogo hadi leo??
Mi sidhani kuwa kuna mbongo yeyote anayeugua mafua mara kadhaa kwa mwaka atashindwa kustahimili kishindo cha Corona-virus!!!
Tumeshavaa usugu wa kutosha... Hatuna cha kuogopa zaidi ya woga wenyewe!!
 
Unamaanisha mtoa mada kaja na hoja za kitoto?

Ungeleta vielelezo/hoja za kuonesha utoto wa post.
Vinginevo acha porojo za kitoto kutuaminisha kuwa hoja ya mtoa mada ni ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi anapoweka kichwa cha habari nanukuu mimi siogopi corana alafu unaingia ndani anachosema kwanini agopi corana anajua mwenyewe wakati huo huo mjomba wake magufuli anawaambia wazazi wake na kakae zake kwamba corona ni hatari ziaidi ya ukimwi sasa mimi nikisema huyo ni dogo ana akili za kitoto na jukwaa limevamiwa na watoto wa fb na insta nitakuwa nimekosea mkuu
 
Daah hii corona sio kabisa,mwamba unatoa povu hadi huruma. Hao waliokua wanamwaga point hapa mlikua mnawashambulia sana(mfano mleta mada,hivi kwanza umeangalia mwaka aliojiunga humu au umekurupuka tu kumwaga povu). Mtu anajikunja kuwapa point zake za maana mnamkejeli na mengineyo,wengi wamekata tamaa na kuamua kua wapenzi watazamaji so muzee baba MB zako tunza tu maana hata voda huwa haina utaratibu wa kubembeleza wateja,ukipenda hamia pengine,acha 'watoto 'tujimwambafai
nimeshamaliza wahusika watalizingatia hili na hii kesi sio moja ni kama ya tano watoto wadogo mmelivamia jukwaa kwa fujo miaka ya 2012 nilikuwa ni kikosa kwasiku kusoma jf nilikuwa najisikia vibaya na nilikuwa tayari bando langu liishie humu lakini sasa nachunguria tu kila hoja naona pumba azina ushawishi wala mvuto kuja kuchunguza watoa hoja kumbe ni watoto wadogo waliojiunga 2016 na 2019 MNATUARIBIA SIO LAZIMA na NYIE MUONEKANE kama vipi piteni wima
 
jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter
kwa hiyo we ndo unajiona bonge la.mjanja na mstaarabu😁😁 hama basi jf hamia PM😇
 
hivi anapoweka kichwa cha habari nanukuu mimi siogopi corana alafu unaingia ndani anachosema kwanini agopi corana anajua mwenyewe wakati huo huo mjomba wake magufuli anawaambia wazazi wake na kakae zake kwamba corona ni hatari ziaidi ya ukimwi sasa mimi nikisema huyo ni dogo ana akili za kitoto na jukwaa limevamiwa na watoto wa fb na insta nitakuwa nimekosea mkuu
Ndo ulitakiwa uweke hoja kama hiyo ya uliyojibu.
Nimekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa huu umepewa sifa kubwa ambazo hata haustahili.
Dunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona.

Watu hawaendi makazini. Shule zimefungwa. Michezo imesitishwa. Matamasha hakuna. Mikusanyiko marufuku. Madukani kuna uhaba wa baadhi ya bidhaa hadi watu wanatwangana ngumi wakigombea makaratasi ya chooni.

Eti yote hayo ni kwa sababu watu wanakiogopa hicho kirusi cha Corona.

Mimi kirusi cha Corona sikiogopi. Kama malaria haikuwahi kuniua, kama kipindupindu nilikistahimili, nini Corona bana?

Kwa nilichokiona, kirusi pekee kinachotisha sasa hivi ni kirusi cha uoga/ hofu.

Uoga/ hofu hii ndo inayofanya maisha yasimame. Ndo inayofanya watu wanunue na kuhodhi makaratasi ya chooni kupelekea hadi kurushiana ngumi.

Hofu hii imewatoa kabisa akili watu. Watu hawafikiri kabisa kwa kutumia akili. Wanatenda kwa kufuata hofu.

Hofu isiyo na akili [irrational fear] ndiye kirusi wa kuogopwa kushinda hata ukoma.

Ila nyani kama na wewe unagombea toilet paper basi utashangaza umma😂
 
Daah hii corona sio kabisa,mwamba unatoa povu hadi huruma. Hao waliokua wanamwaga point hapa mlikua mnawashambulia sana(mfano mleta mada,hivi kwanza umeangalia mwaka aliojiunga humu au umekurupuka tu kumwaga povu). Mtu anajikunja kuwepa point zake za maana mnamkejeli na mengineyo,wengi wamekata tamaa na kuamua kua wapenzi watazamaji so muzee baba MB zako tunza tu maana hata voda huwa haina utaratibu wa kubembeleza wateja,ukipenda hamia pengine,acha 'watoto 'tujimwambafai
dogo !sisi ndio wadau wakubwa mpaka tumepewa vyeo humu jf kitambo na sisi ndio tunawaweka mjini mwenyekiti wetu alipewa kesi kwa sababu yetu nakupata tunzo marekani kwa sababu ya sisi na bila sisi wewe na watoto wezio msingeijui sasa tunapona mapungufu na uijinga maotuletea lazima tuseme . na sisi tukitoka humu jf inakufa kifo cha mende na mwenyekiti ataifanya free jf kama huko fb yenu ya bure sawa dogo na waambie watoto wezenu kwamba sasa hivi mkitoa hoja pumba inapigwa rungu hatutaki utoto sisi
 
kuna watu mnajifanya mmekua na mna akili sana kumbe hamna akili wala chochote;
jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba fb inayojulikana dunia nzima wanatumia watoto wasiojitambua......hahahaha mpka hapa ww ni kiazi.

wewe ni mbwa koko tufautisha hoja za facebook , instagram na jamiiforum ,twitter ndio utajua nini na maanisha alafu jiulize tena kwa nini facebook wamewaka free data
 
Eh eh eh kwamba wewe ndio ulianza kujiunga humu kabla ya Nyani Ngabu maajabu haya....Hivi unajua watu kama Nyani ngabu wameutoa wapi huu mtandao!? mbona mnapenda personal attack kuliko kujenga hoja!?
 
jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter
Misingi ya JF, jukwaa huru...where we dare to talk openly...
Don't belittle others...PLZ
Anzisha nawe mada yako...
Usiharibu mada ya mwenzako mzee...
Mada imejikita kuiasa jamii isipanic..
Isitaharuki, isifanye mihemko...kwa uoga...

Malaria zinatuua, vipindupindu vinatuua, TB, HIV, vyote vinaambukiza na vinatuua..

Everyday is Saturday..................... 😎
 
kuna watu mnajifanya mmekua na mna akili sana kumbe hamna akili wala chochote;

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO
dogo !sisi ndio wadau wakubwa mpaka tumepewa vyeo humu jf kitambo na sisi ndio tunawaweka mjini mwenyekiti wetu alipewa kesi kwa sababu yetu nakupata tunzo marekani kwa sababu ya sisi na bila sisi wewe na watoto wezio msingeijui sasa tunapona mapungufu na uijinga maotuletea lazima tuseme . na sisi tukitoka humu jf inakufa kifo cha mende na mwenyekiti ataifanya free jf kama huko fb yenu ya bure sawa dogo na waambie watoto wezenu kwamba sasa hivi mkitoa hoja pumba inapigwa rungu hatutaki utoto sisi
Wewe jamaa umejiunga 2014 the same year kama sisi wengine umeshaanza kujipa vyeo na misifa ya kijinga humu unajifananisha na kina Nyani Ngabu humu ambao ni kati ya member 20 was mwanzo waliojiunga na Jf enzi hizo 2006 inaitwa Jambo Forums kipindi hicho sijui ulikua unasoma darasa LA ngapi sijui..,.lakini nawe eti unajifanya mkongwe unamuona nyani Ngabu ni Kilaza ikiwa yeye alijiunga Jf enzi hizo hakuna Freebasics wala Smartphone..kweli una mavi kichwani wewe
 
Back
Top Bottom