mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
walishaambiwa jamani zuieni hao wageni.lakini wabishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kakimbilia dom
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa kakimbilia dom
dogo !sisi ndio wadau wakubwa mpaka tumepewa vyeo humu jf kitambo na sisi ndio tunawaweka mjini mwenyekiti wetu alipewa kesi kwa sababu yetu nakupata tunzo marekani kwa sababu ya sisi na bila sisi wewe na watoto wezio msingeijui sasa tunapona mapungufu na uijinga maotuletea lazima tuseme . na sisi tukitoka humu jf inakufa kifo cha mende na mwenyekiti ataifanya free jf kama huko fb yenu ya bure sawa dogo na waambie watoto wezenu kwamba sasa hivi mkitoa hoja pumba inapigwa rungu hatutaki utoto sisi
Mzee anachimba biti, yeye ndiyo anayeiweka JF mjini, akitoka JF inakufa kifo cha mende....Wewe jamaa umejiunga 2014 the same year kama sisi wengine umeshaanza kujipa vyeo na misifa ya kijinga humu unajifananisha na kina Nyani Ngabu humu ambao ni kati ya member 20 was mwanzo waliojiunga na Jf enzi hizo 2006 inaitwa Jambo Forums kipindi hicho sijui ulikua unasoma darasa LA ngapi sijui..,.lakini nawe eti unajifanya mkongwe unamuona nyani Ngabu ni Kilaza ikiwa yeye alijiunga Jf enzi hizo hakuna Freebasics wala Smartphone..kweli una mavi kichwani wewe
Kwani takwimu zinasemaje hadi hivi tunavyoongea?Ndugu yangu, hofu haijajitengeneza, imekuja baada ya matokeo yatokanayo na huyo Virus, so you want people to ignore the existence of this epidemic disease? Ni sahihi kuwa na hofu na kuchukua hatua kama inavyofanyika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wananchi wanalaumu serkali ingechukua hatua gani?Lawama za moja kwa moja kutoka kwa wananchi kwa huku kwetu ni serikali yao haikuchukua hatua stahiki
Haya ndio madhara ya uoga juu ya kirusi cha Corona alichosema mtoa mada, watu wana hamaki, mpaka akili inashindwa kufanya kazi vizuri wanatwangana makonde kugombea toilet papers na wewe unapandisha jazba mpaka unapitiliza yaan wewe ndio unamuweka Max mjini na wewe ukitoka basi jf inakufa hahaha,dogo !sisi ndio wadau wakubwa mpaka tumepewa vyeo humu jf kitambo na sisi ndio tunawaweka mjini mwenyekiti wetu alipewa kesi kwa sababu yetu nakupata tunzo marekani kwa sababu ya sisi na bila sisi wewe na watoto wezio msingeijui sasa tunapona mapungufu na uijinga maotuletea lazima tuseme . na sisi tukitoka humu jf inakufa kifo cha mende na mwenyekiti ataifanya free jf kama huko fb yenu ya bure sawa dogo na waambie watoto wezenu kwamba sasa hivi mkitoa hoja pumba inapigwa rungu hatutaki utoto sisi
kuna watu mnajifanya mmekua na mna akili sana kumbe hamna akili wala chochote;
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa watu wengi watakufa kwa hofu sio Corona. Niwaambie kitu inawezekana Corona virus ipo Tanzania siku nyingi na wote tunayo lakini tuliijua kama mafua sasa atakayeambiwa anayo chini.
Tulizeni akiri tuone nini tuanze nacho kama ni mask[emoji83] au dawa. Tuliambiwa Tanzania haina uwezo wa kutibu Corona ispokua kuzuia lakini sasa naona ata kuzuia tumeshindwa alafu waziri anaendelea kukalia kiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi kuandika hajui matumizi ya alama za uandishi hajui.
Anaandika vururu vururu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kufikiahapa ndipo nimegundua hujui hata unalosema, yani unataka kusema FB wameweka free data kisa ni ya watoto. Mkuu nachelea kusema hauna akili wala ujualo kama unavyodhaniwewe ni mbwa koko tufautisha hoja za facebook , instagram na jamiiforum ,twitter ndio utajua nini na maanisha alafu jiulize tena kwa nini facebook wamewaka free data
Nashangaa sana hawa wazungu walivyo waoga wananunua mikate,toilet paper ect wnaweka stock wakati kunakirusi kinaitwa sars Virus iliua sana watu kuliko CoronaDunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona.
Watu hawaendi makazini. Shule zimefungwa. Michezo imesitishwa. Matamasha hakuna. Mikusanyiko marufuku. Madukani kuna uhaba wa baadhi ya bidhaa hadi watu wanatwangana ngumi wakigombea makaratasi ya chooni.
Eti yote hayo ni kwa sababu watu wanakiogopa hicho kirusi cha Corona.
Mimi kirusi cha Corona sikiogopi. Kama malaria haikuwahi kuniua, kama kipindupindu nilikistahimili, nini Corona bana?
Kwa nilichokiona, kirusi pekee kinachotisha sasa hivi ni kirusi cha uoga/ hofu.
Uoga/ hofu hii ndo inayofanya maisha yasimame. Ndo inayofanya watu wanunue na kuhodhi makaratasi ya chooni kupelekea hadi kurushiana ngumi.
Hofu hii imewatoa kabisa akili watu. Watu hawafikiri kabisa kwa kutumia akili. Wanatenda kwa kufuata hofu.
Hofu isiyo na akili [irrational fear] ndiye kirusi wa kuogopwa kushinda hata ukoma.
Mshinde huyo kirusi wa uoga/hofu.
Nani mtoto hapa?jamii forum imekufa jamii forum ya sasa sio ya mwaka 2012,13 ,14,15 mwanzoni jf ya sasa imevamiwa na watoto wa dogo wa facebook na instagram mtoto mdogo anatoa hoja ya kishamba kabisa na alafu wahusika wanauwacha . hiii ni aibu sana kwa wahusika na sisi wadau wa muda mrefu maana bila sisi wadau wa muda mrefu leo hii hawa watoto wadogo wasigeijua jf . hivi wahusika kwann hawa watoto msiwape jukwaa lao . jukwaa la watoto chini ya 18 . kuliko kuja humu wanatuaharibia sana jukwaa linakosa mvuto jukwaa limepoteza ushawishi wada wengine wanatoka wanenda twitter
Tz kuna virusi vinaitwa policcmDunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona.
Watu hawaendi makazini. Shule zimefungwa. Michezo imesitishwa. Matamasha hakuna. Mikusanyiko marufuku. Madukani kuna uhaba wa baadhi ya bidhaa hadi watu wanatwangana ngumi wakigombea makaratasi ya chooni.
Eti yote hayo ni kwa sababu watu wanakiogopa hicho kirusi cha Corona.
Mimi kirusi cha Corona sikiogopi. Kama malaria haikuwahi kuniua, kama kipindupindu nilikistahimili, nini Corona bana?
Kwa nilichokiona, kirusi pekee kinachotisha sasa hivi ni kirusi cha uoga/ hofu.
Uoga/ hofu hii ndo inayofanya maisha yasimame. Ndo inayofanya watu wanunue na kuhodhi makaratasi ya chooni kupelekea hadi kurushiana ngumi.
Hofu hii imewatoa kabisa akili watu. Watu hawafikiri kabisa kwa kutumia akili. Wanatenda kwa kufuata hofu.
Hofu isiyo na akili [irrational fear] ndiye kirusi wa kuogopwa kushinda hata ukoma.
Mshinde huyo kirusi wa uoga/hofu.
Tz kuna virusi vinaitwa policcm
Hivyo ni hatari kuliko hata virus vya corona
Dunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona.