Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Hofu niionayo ni..
Mambo/huduma nying za msingi kufungwa na hao wenye hofu ugonjwa.....

Hili litatuathiri sana....
Ni tahadhari tu za msingi ila sio kuogopesha watu...
Death rate ya hii kitu bd iko chini sana...
3/100??
 
We panick a lot. Shida ni kwamba wanaorecover hawatangazwi bali wanaokufa tu
Screenshot_20200316-215457.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna magonjwa hatari (yanaua) kuliko korona inavyoua, kuna magonjwa tiba yake ni ngumu mno na ukiyapata huinuki kama Ebola.

Malaria huua maelfu kila siku, sukari, Blood pressure huua makumi elfu kila siku. Je, corona ni mradi mpya ndio maana inakuzwa sana, au kwakuwa imeanzia huko ng'ambo?

Je, ni hofu ya siku za mbeleni? Kama mgonjwa wa Corona anaweza kupona kwa tiba ya kawaida tu bila shaka mwarobaini wake utapatikana soon.

Au wameleta makusudi ili kupunguza idadi ya watu kulingana na rasilimali na kubalance nature? kwamba washajua mission nzima that's why wanaweka watu tension ya hali ya juu?

KUSINI mwa Jangwa la Sahara UKIMWI na malaria vinaua watu kikatili hao wazungu wanachukulia simple tu kama vile wanaokufa ni mbwa badala yake wanaleta misaada ya kupambana na hayo majanga na si kukomesha!

People dying daily in Africa for hunger, malaria and HIV but white people and our black leaders take it easy. Nani yuko nyuma ya corona?.
Note: Dunia inaendeshwa na watu wachache waliojificha na wenye akili kubwa.
 
Huoni hiyo ni koraboresheni ya magonjwa!!
Tuliyonayo yote linaongezeka na jengine!
Mi nafikiri kuna vyakula dunia kiujumla ingekataza kuvila,mtu Wala popo kwa lile jisura lake na umbo utadhani ALIEN 👽👽
Mkuu ile haikuzwi inajikuza we fatilia takwimu za vifo utaona nini ni nini!!
 
Unakufa kwa njaa kisha unalaumu mzungu, unajua malaria inasababishwa na mbu bado unasubiri mzungu akuletee chandarua tena bure.... pumbavu..!!
 
Huoni hiyo ni koraboresheni ya magonjwa!!
Tuliyonayo yote linaongezeka na jengine!
Mi nafikiri kuna vyakula dunia kiujumla ingekataza kuvila,mtu Wala popo kwa lile jisura lake na umbo utadhani ALIEN [emoji89][emoji89]
Mkuu ile haikuzwi inajikuza we fatilia takwimu za vifo utaona nini ni nini!!
Takwimu nilizo zisikia mpaka leo asubuhi ni kuwa
Jumla ya watu walio pata maambukizi ni 180k+
75k+ wamepona
7k+ ndio walio fariki

Sasa mpaka hapo unaweza kuona jinsi gani rate ya vifo ni ndogo sana japo kuwa ugonjwa una takribani miezi minne na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom