wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,490
Lakini wewe ni mkweli sio?BBC ni waongo kupita maelezo
Sent using IPhone X
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wewe ni mkweli sio?BBC ni waongo kupita maelezo
Sent using IPhone X
takwimu hiyo sio kweli mafua ya kawaida nayo huwa watu mpaka 600000 kwa mwaka na nikawaida sana fatilia data WHONi ugonjwa unaua watu wengi kwa pamoja sio kuwa promo, leo mchana nimeangalia BBC tv nimeona wamesema kuwa hadi kufikia leo wamefariki watu 24,000 dunia nzima.
Ugonjwa ambao umeanza mwezi wa kwanza,una miezi 3 tu na kuua watu elf ishilini na nne sio jambo dogo,hata ebola ilikuwa haiui kwa wingi huu kama corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba tu Mungu aendelee kutunusuru hivihivi. si suala la mzaha..utapiga nyeto mwaka mzima. waziri Mkuu wa Uingereza huko anapiga nyeto tu sahizi. acha utani kabisa.Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa
Sent using IPhone X
Endelea kumuomba Mungu wako. DRC ishaingia taharuki... wamekufa wanne maambukizi zaidi ya mia nne. Keep on praying.Nikiangalia mambo yanayotangazwa BBC na huku mtaani kwangu, yaani naona uhalisia ni mbingu na ardhi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha naona umeamua mshindilia na swali ambalo hakuulizwa...hahahhah pole sana mkuu. Vipi hujisikii joto na homa kali kupanda?
Achana na habari za mtaani kwako,wewe unajua hadi leo kula spain wameshafariki watu takribani 6600+ au unaongea kama unavuta ugoro? Maana huko ni Spain tu,acha china,Italy,Mareakani na mataifa mengineNikiangalia mambo yanayotangazwa BBC na huku mtaani kwangu, yaani naona uhalisia ni mbingu na ardhi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiangalia mambo yanayotangazwa BBC na huku mtaani kwangu, yaani naona uhalisia ni mbingu na ardhi..
Sent using Jamii Forums mobile app