Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa

Sent using IPhone X

Kinga ni bora kuliko tiba

Kama unaogopeka namna hiyo mana yake watu watakuwa makini zaidi katika kujikinga....ni jambo zuri
 
Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa

Sent using IPhone X
They gonna screw your balls Dude
IMG-20200327-WA0044.jpeg

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Juzi nilienda hosptal flani hapa Upanga, nilikuwa nikisumbiliwa na tumbo na mgongo, wkt namuelezea doctor ninavyojisikia hasa nilipomwambia nasikia maumivu ya mgongo kuelekea mbavuni alionyesha hamaki flani hivi akaanza kuniuliza kama napumua kwa shida? Nikamjibu hapana, akaniuliza kama Nina mavua na kupiga chafya nikamwambia hapana.

Kilichonikera ile kuniuliza Mara nyingi kama napumua kwa shida pamoja na kumjibu bado akawa anauliza kama kwa kulazimisha nikubali, nilimstahi kwakuwa alikuwa mdada na alikuwa mjamzito so nikaona huyu akili yake imempeleka kwenye corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhah pole sana mkuu. Vipi hujisikii joto na homa kali kupanda?
 
Hakika ugonjwa huu umepigiwa promo hadi mtu ukiugua malaria watu wanajua tayari una corona!
Hakuna ugonjwa hatari duniani kama Hofu inauwa kuliko njaa

Sent using IPhone X
hakika mkuu vyombo vyte vya abari muda wote wanaongolea corona na maambukizi tu na ukiangalia vyombo vikubwa unaweza kufikiri dunia yote wote ni wagonjwa wa corona na hakuna mwenye nafuu kabisa
 
Unawika sana aisee...

Mpaka ukimwi unaonekana ni ugonjwa wa kawaida sana mbele ya Covid19...

Cc: mahondaw
 
Ni ugonjwa unaua watu wengi kwa pamoja sio kuwa promo, leo mchana nimeangalia BBC tv nimeona wamesema kuwa hadi kufikia leo wamefariki watu 24,000 dunia nzima.

Ugonjwa ambao umeanza mwezi wa kwanza,una miezi 3 tu na kuua watu elf ishilini na nne sio jambo dogo,hata ebola ilikuwa haiui kwa wingi huu kama corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wahdzabe Kuna mtu anawamonitor kweli??
 
Uganda huko Mabodaboda wamewadindia askari wamekataa lockdown yao,askari wamerusha mabomu ya machozi.Hii lockdown kwa Africa sizani kama itafanyakazi manake asilimia kubwa kazi zao ni deiwaka.
 
Ni ugonjwa unaua watu wengi kwa pamoja sio kuwa promo, leo mchana nimeangalia BBC tv nimeona wamesema kuwa hadi kufikia leo wamefariki watu 24,000 dunia nzima.

Ugonjwa ambao umeanza mwezi wa kwanza,una miezi 3 tu na kuua watu elf ishilini na nne sio jambo dogo,hata ebola ilikuwa haiui kwa wingi huu kama corona

Sent using Jamii Forums mobile app

BBC ni waongo kupita maelezo

Sent using IPhone X
 
Uganda huko Mabodaboda wamewadindia askari wamekataa lockdown yao,askari wamerusha mabomu ya machozi.Hii lockdown kwa Africa sizani kama itafanyakazi manake asilimia kubwa kazi zao ni deiwaka.

Wanataka watu wafe njaa badala la hilo gonjwa la kibeberu

Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom