Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

MAmbo yote ya hovyo na ya kipuuzi yalianza enzi za utawala wa Mwinyi. Mambo ya mashoga kujiita auntie, madawa ya kulevya, kuuzwa kwa rasilimali za taifa kama alivyouza Loliondo (Loliondo Gate Scandal) na kadhalika.
Mwinyi hakupendwa hata na Waislam wenzake, alikuwa ni kibaraka wa wazungu.
Unajua kwa nini Nyerere aliachia madaraka nchi hii? Soma historia uelewe. Nenda kagugu S.A.P in third world countries kwa kuanzia halafu uone kama Mwinyi alikuwa kibaraka wa wazungu au Nyerere nchi ilimshinda.
 
Why do dogs stick to each other after having sex?

The male penis swells inside the female's vagina during the mating, causing them to get virtually locked. It is a normal phenomenon. They might be locked for some good 15-20 minutes during which ejaculation takes place. One should not attempt to separate them, to allow successful mating.

A small bone is found inside the dog's penis called baculum that holds the penis while trying penetration. Once the penis has reached inside the vagina, the bulbus glandis (found at the base of penis) will start to congest with blood and swells, to eventually lock the mating couple. It is popularly called mating tie.

Sometimes in disparate mating, larger size female (or a virgin female) gets panicked and swings the male while its penis is still stuck inside. Poor guy!

P.S. This is a common knowledge, only if people take the pain of typing at the search engine.
 
Udinywe na mbwa, huko ndani lazima ufumuke fumuke.

1674184198033.png
 
MAmbo yote ya hovyo na ya kipuuzi yalianza enzi za utawala wa Mwinyi. Mambo ya mashoga kujiita auntie, madawa ya kulevya, kuuzwa kwa rasilimali za taifa kama alivyouza Loliondo (Loliondo Gate Scandal) na kadhalika.
Mwinyi hakupendwa hata na Waislam wenzake, alikuwa ni kibaraka wa wazungu.
Hao mashoga walikuwepo na walikuwa wanajulikana kabisa mitaani.

Enzi za Nyerere hakukuwepo uhuru wa vyombo vya habari, ni vya serikali tu au umesahau?
 
Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau.

Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio msingi wa maendeleo yao.

SIKU ya Jumatatu Aprili mosi, 1991 ilikuwa mbaya sana kwa Sara (jina halisi linahifadhiwa), msichana kutoka Mkoa wa Iringa aliyekuwa anaishi na dada yake eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ilikuwa ni ya pili ya Pasaka, yaani Easter Monday kwa Kiingereza, na Sara (aliyekuwa na umri wa miaka 20 wakati huo) aliamua kufanya matembezi katikati ya jiji.

Ilikuwa majira ya saa nne usiku alipoingia katika Hoteli ya Kilimanjaro kwenye ukumbi wa burudani, ilipokuwa inatumbuiza bendi maarufu ya The Tanzanite's. Akiwa ukumbini hapo, alijikuta akifahamiana na Wazungu wanne waliomkaribisha kinywaji aina ya Vodka.

Ilipotimia majira ya saa sita usiku, Wazungu wale walimshawishi Sara afuatane nao kwenda kwenye nyumba ya mmoja wao eneo la Mlalakuwa. Sara alifikiri Wazungu wale walikuwa watu waungwana kwa kuwa walionyesha ukarimu kwake. Walimchukua katika gari lao hadi katika nyumba hiyo na kumkaribisha sebuleni kwa vinywaji zaidi. Kwa vile Sara alikuwa si mwenyeji sana katika Jiji la Dar es Salaam hakujua ramani ya eneo alilokuwa huko Mlalakuwa.

Baada ya kutosheka na vinywaji, Wazungu wale walimwacha Sara peke yake sebuleni na kwenda zao kulala vyumbani. Usiku wa manane ulipowadia, Wazungu waliamka na kumtoa Sara sebuleni hadi baraza ya kando ya nyumba. Walimshika kwa nguvu, wakamvua nguo zake na kubakia kama alivyozaliwa.

Baada ya hapo walimchukua mbwa wao na kumgeuza 'mume' wa Sara! Kitendo hicho kilifanywa kwa nguvu bila Sara kuridhia wala kuweza kujitetea. Mmoja wa Wazungu wale alikuwa anapiga picha kwa kamera yake ndogo wakati mbwa akifanyishwa ngono na Sara.

Baada ya ya unyama huo, Sara alipakiwa katika gari na kurudishwa katikati ya jiji na kuachwa kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Hospitali ya Ocean Road. Maskini Sara alikuwa amedhalilishwa kiasi cha kuona hana tena thamani katika dunia, hivyo alitaka kujiua kwa kujitosa baharini.

Wakati akihangaika hovyo karibu na alfajiri, askari polisi wa ulinzi baharini walimwona na kumwokoa. Baadaye aliwasimulia yaliyomkuta, wakaamua kumpeleka Hospitali ya Rufaa Muhimbili (wakati huo) kupima afya yake.

Madaktari walithibitisha kwamba ni kweli alikuwa ameingiliwa kimwili na mnyama. Uthibitisho huo uliwapa fursa polisi kuanza uchunguzi. Wakati polisi wanafanya uchunguzi, habari hizi zilifika Shirika la Habari Tanzania (SHIHATA) wakati huo na kuandikwa katika gazeti la serikali la Sunday News la Aprili 7, 1991. Siku chache baadaye, polisi walifanikiwa kujua nyumba ambayo Sara alifanyiwa unyama na kuwatia mbaroni Wazungu wale.

Polisi hawakuchelewa kufungua mashtaka mahakamani (wakati huo Kivukoni). Wazungu walipelekwa kusomewa mashtaka na kunyimwa dhamana. Siku walipofikishwa mahakamani, watu wengi walifika kutaka kuona Wazungu hao walikuwa watu wa aina gani.

Pale Kivukoni ilipo Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara hivi sasa, palifurika watu ambao hawajawahi kuonekana tena eneo hilo. Dk. Masumbuko Lamwai ndiye alikuwa wakili wa utetezi na hoja zake za kuomba dhamana kwa washtakiwa zilishindwa, kwani hakimu alisema wakiachiwa wanaweza kudhuriwa vibaya na jamii iliyokuwa imekasirishwa sana na habari za unyama waliofanya.

Baada ya mwezi mzima wa kesi, serikali ilitoa hati ya kuwafukuza nchini Wazungu wale, kama watu wasiotakiwa kufika tena hapa Tanzania. Ilibainika baadaye kwamba walikuwa ni raia wa Ujerumani na walikuwa nchini kama wataalamu wa kigeni (expatriates) wakati huo maarufu kama'.

Serikali ilichukua hatua hiyo baada ya kuona kesi hiyo inaweza kujenga hisia za kibaguzi katika jamii, kwani tayari watu wengi walianza kuonyesha chuki mbaya kwa Wazungu wote, wakiwamo watalii, wawekezaji na mabalozi. Ulikuwa ni uamuzi wa busara sana wa Serikali ya Awamu ya Pili chini ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Lakini busara hizo hazikuzingatiwa sana, kwani habari za uchunguzi zinasema Wazungu wawili miongoni mwa wale wanne, walirudi tena nchini kinyemela. Inasadikiwa walirudi chini ya mwavuli wa dhehebu moja la dini. Hadi sasa haifahamiki kama walitumia majina mengine ya bandia na kama bado wapo nchini, lakini habari za kuonekana kwao tena Dar es Salaam zilifahamika tangu 1997
Ni kweli
 
Mimi Kuna wakati nikiwa mdogo Kama niliwahi kuona video ya mwanamke wa kiAfrica alifanyiwa ngono na mbwa mweusi, nilishangaa Sana kwa kweli🤔
 
Unajua kwa nini Nyerere aliachia madaraka nchi hii? Soma historia uelewe. Nenda kagugu S.A.P in third world countries kwa kuanzia halafu uone kama Mwinyi alikuwa kibaraka wa wazungu au Nyerere nchi ilimshinda.
ni kweli nyerere nchi ilimshinda..mwinyi akafanya mambo vuruvuru nchi ilikuwa kibanda umiza kila mtu anaweza kufanya chochote
 
Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau.

Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio msingi wa maendeleo yao.

SIKU ya Jumatatu Aprili mosi, 1991 ilikuwa mbaya sana kwa Sara (jina halisi linahifadhiwa), msichana kutoka Mkoa wa Iringa aliyekuwa anaishi na dada yake eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ilikuwa ni ya pili ya Pasaka, yaani Easter Monday kwa Kiingereza, na Sara (aliyekuwa na umri wa miaka 20 wakati huo) aliamua kufanya matembezi katikati ya jiji.

Ilikuwa majira ya saa nne usiku alipoingia katika Hoteli ya Kilimanjaro kwenye ukumbi wa burudani, ilipokuwa inatumbuiza bendi maarufu ya The Tanzanite's. Akiwa ukumbini hapo, alijikuta akifahamiana na Wazungu wanne waliomkaribisha kinywaji aina ya Vodka.

Ilipotimia majira ya saa sita usiku, Wazungu wale walimshawishi Sara afuatane nao kwenda kwenye nyumba ya mmoja wao eneo la Mlalakuwa. Sara alifikiri Wazungu wale walikuwa watu waungwana kwa kuwa walionyesha ukarimu kwake. Walimchukua katika gari lao hadi katika nyumba hiyo na kumkaribisha sebuleni kwa vinywaji zaidi. Kwa vile Sara alikuwa si mwenyeji sana katika Jiji la Dar es Salaam hakujua ramani ya eneo alilokuwa huko Mlalakuwa.

Baada ya kutosheka na vinywaji, Wazungu wale walimwacha Sara peke yake sebuleni na kwenda zao kulala vyumbani. Usiku wa manane ulipowadia, Wazungu waliamka na kumtoa Sara sebuleni hadi baraza ya kando ya nyumba. Walimshika kwa nguvu, wakamvua nguo zake na kubakia kama alivyozaliwa.

Baada ya hapo walimchukua mbwa wao na kumgeuza 'mume' wa Sara! Kitendo hicho kilifanywa kwa nguvu bila Sara kuridhia wala kuweza kujitetea. Mmoja wa Wazungu wale alikuwa anapiga picha kwa kamera yake ndogo wakati mbwa akifanyishwa ngono na Sara.

Baada ya ya unyama huo, Sara alipakiwa katika gari na kurudishwa katikati ya jiji na kuachwa kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Hospitali ya Ocean Road. Maskini Sara alikuwa amedhalilishwa kiasi cha kuona hana tena thamani katika dunia, hivyo alitaka kujiua kwa kujitosa baharini.

Wakati akihangaika hovyo karibu na alfajiri, askari polisi wa ulinzi baharini walimwona na kumwokoa. Baadaye aliwasimulia yaliyomkuta, wakaamua kumpeleka Hospitali ya Rufaa Muhimbili (wakati huo) kupima afya yake.

Madaktari walithibitisha kwamba ni kweli alikuwa ameingiliwa kimwili na mnyama. Uthibitisho huo uliwapa fursa polisi kuanza uchunguzi. Wakati polisi wanafanya uchunguzi, habari hizi zilifika Shirika la Habari Tanzania (SHIHATA) wakati huo na kuandikwa katika gazeti la serikali la Sunday News la Aprili 7, 1991. Siku chache baadaye, polisi walifanikiwa kujua nyumba ambayo Sara alifanyiwa unyama na kuwatia mbaroni Wazungu wale.

Polisi hawakuchelewa kufungua mashtaka mahakamani (wakati huo Kivukoni). Wazungu walipelekwa kusomewa mashtaka na kunyimwa dhamana. Siku walipofikishwa mahakamani, watu wengi walifika kutaka kuona Wazungu hao walikuwa watu wa aina gani.

Pale Kivukoni ilipo Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara hivi sasa, palifurika watu ambao hawajawahi kuonekana tena eneo hilo. Dk. Masumbuko Lamwai ndiye alikuwa wakili wa utetezi na hoja zake za kuomba dhamana kwa washtakiwa zilishindwa, kwani hakimu alisema wakiachiwa wanaweza kudhuriwa vibaya na jamii iliyokuwa imekasirishwa sana na habari za unyama waliofanya.

Baada ya mwezi mzima wa kesi, serikali ilitoa hati ya kuwafukuza nchini Wazungu wale, kama watu wasiotakiwa kufika tena hapa Tanzania. Ilibainika baadaye kwamba walikuwa ni raia wa Ujerumani na walikuwa nchini kama wataalamu wa kigeni (expatriates) wakati huo maarufu kama'.

Serikali ilichukua hatua hiyo baada ya kuona kesi hiyo inaweza kujenga hisia za kibaguzi katika jamii, kwani tayari watu wengi walianza kuonyesha chuki mbaya kwa Wazungu wote, wakiwamo watalii, wawekezaji na mabalozi. Ulikuwa ni uamuzi wa busara sana wa Serikali ya Awamu ya Pili chini ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

Lakini busara hizo hazikuzingatiwa sana, kwani habari za uchunguzi zinasema Wazungu wawili miongoni mwa wale wanne, walirudi tena nchini kinyemela. Inasadikiwa walirudi chini ya mwavuli wa dhehebu moja la dini. Hadi sasa haifahamiki kama walitumia majina mengine ya bandia na kama bado wapo nchini, lakini habari za kuonekana kwao tena Dar es Salaam zilifahamika tangu 1997
Nilikuwa mtoto nikiri ukweli asante sana sana, mimi nakumbuka kulikuwa na visa vya wazungu wa kwenye migodi na viwanda vya samaki kanda ya ziwa waliwanunua wanawake kwa ajili ya kufanya ngono na mbwa. Hii experience miaka ya 2012-2013, inasemekana mtoto mmoja wa Tajiri wa Hood Bus pale morogoro enzi za Maisha Club alonunua sana wanawake mahususi kwenda kufanya ngono na mbwa wake. Wenyeji wa Morogoro enzi za Maisha Club wanaweza kusema kwa ziada na uzuri zaidi
 
Linaitwa kafara la gono la mbwa. Kadiri unavyoteseka ndivyo hela inavyozidi kuingia
Nilikuwa mtoto nikiri ukweli asante sana sana, mimi nakumbuka kulikuwa na visa vya wazungu wa kwenye migodi na viwanda vya samaki kanda ya ziwa waliwanunua wanawake kwa ajili ya kufanya ngono na mbwa. Hii experience miaka ya 2012-2013, inasemekana mtoto mmoja wa Tajiri wa Hood Bus pale morogoro enzi za Maisha Club alonunua sana wanawake mahususi kwenda kufanya ngono na mbwa wake. Wenyeji wa Morogoro enzi za Maisha Club wanaweza kusema kwa ziada na uzuri zaidi
 
Malaya wa magoti hao. Wengi walikuwa wanawavizia ma seamen meli zikitia nanga. Chaka lao kubwa ilikuwa telephone house pale samora avenue.
Wengi walikuwa ni maafisa usalama na mapolisi, walikuwa ni malaya wa mchongo
 
Mkuu hii kitu ni kweli kbs. Wala sio chai. Jitahidini muwe mnaenda maktaba ya taifa kusoma matukio yaliyopita zama hizo. Hii kesi ilikuwa hot kipindi hicho RTD ikivuma hasa na kipindi cha Majira.
Aisee
 
Back
Top Bottom